Ajali mbaya morogoro mabasi matatu na lori moja yapinduka.

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,274
9,910
Nipo eneo la makuda kihonda Morogoro ambapo kunàjali ya mabasi matatu Shabiby, Sumry na Alis na lory moja.

Kumekuwa na foleni kubwa sana kwani magari ya kutoka dodoma na yanayotoka dar hayapiti.

Kwamujibu wa mashuhuda kumekuwa na majeruhi kadhaa.
 
Ajali kibao leo cjui vipi: 1. Wami mabasi ya kenya yalikua yanakuja dsm na malaori ya mafuta 2. Hapo kabla hujafika chalinze ukitokea dsm kuna bonge la ajali ya taker la mafuta 3. Kuna basi liliungua moto likienda mtwara jana au juzi 3. Sabeni iliyoua 17 juzi sasa wasema tena kuna nyingine...... Tujisahihishe.........
 
duh! hizi ajali sasa too much! majeruhi wapone haraka marehemu wapumzike kwa amani!
 
kuna haja ya kutazama vizuri biashara hii ya magari. kuanzia mkataba wa tajiri na dereva jinsi gari linavyofanyiwa matengenezo makubwa na madogo mfano magari mengi hayazingatii kubadilisha mataili kulingana na kilomita wanaangalia kama taili halina kipara basi liko poa. kingine hata upimaji wa upepo si wa mara kwa mara fikiria gari linatembea zaidi ya km 500 na hakuna kupima upepo katikati.
madereva wengine hawana mikataba hivyo wanendesha kama day waka sasa hapa ni tatizo sidhani kama mtu hana fedha za kutosha anaweza kufanya kazi vizuri.
 
Ajali kibao leo cjui vipi: 1. Wami mabasi ya kenya yalikua yanakuja dsm na malaori ya mafuta 2. Hapo kabla hujafika chalinze ukitokea dsm kuna bonge la ajali ya taker la mafuta 3. Kuna basi liliungua moto likienda mtwara jana au juzi 3. Sabeni iliyoua 17 juzi sasa wasema tena kuna nyingine...... Tujisahihishe.........

Na hapa buguruni rozana daladala imeteketea jana!
 
Back
Top Bottom