Ajali Mbaya maeneo ya TSN Mikocheni

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,558
Nimepita maeneo haya asubuhi kuna Dala dala limegongana na Landrover 110 ya Jeshi, Naona miili tu inatolewa kwenye Landrover ya Jeshi.

So hurting.
 
dah! poleni inamaana wamekufa ama wamejeruhiwa?
Inapotokea ajali, a side watcher anaweza tuu tuu kuona miili ikitolewa na sio kuthibitisha uhai!. hata kama unaona immovable body, bado huruhusiwi kuthibitisha kifo!.

Poleni kwa wahanga wa ajali hiyo.
Mtoa taarifa alipaswa asimame japo for few minutes ili atupe more detailed info.
Any way thanks kwa info!.
P.
 
Duh! Watakuwa wamewaaga wake,watoto na waume zao kuwa "tutaonana jioni eeh" rip walio poteza uhai.
Ajali imetokea, shuhuda kaona miili ikiokolewa, hili la vifo limetokea wapi mpaka mnaleta na rip?!. Sometimes wajameni, tuacheni uchuro!.
P.
 
Inapotokea ajali, a side watcher anaweza tuu tuu kuona miiliki ikitolewa na sio kuthibitisha uhai!. hata kama unaona immovable body, bado huruhusiwi kuthibitisha kifo!.
Poleni kwa wahanga wa ajali hiyo.
Mtoa taarifa alipaswa asimame japo for few minutes ili atupe more detailed info.
Any way thanks kwa info!.
P.

Mkuu jana nilikuona kwa mbali ukiwa umefunga mkono! Umeumia AMA shemeji alikupa kichapo?
 
Mwanajeshi mmoja kafariki papo hapo, dereva wa daladala kakatika miguu, na wanajeshi wengine wamejeruhiwa vibaya.
Sababu ya ajali ni kutanua kwa daladala iliyokuwa ikitokea Kawe na kugongana uso kwa uso na Landrover ya jeshi.
Injini ya Landrover imezama kiasi cha kuvivunja vunja viti vya mbele yaani dereva na abiria wa kushoto yake.

Source: Bonge wa PB
 
Ajali imetokea, shuhuda kaona miili ikiokolewa, hili la vifo limetokea wapi mpaka mnaleta na rip?!. Sometimes wajameni, tuacheni uchuro!.
P.

Confirmed: Only one person died on the spot others badly Injired!!

Source: Clouds FM, Bonge.
 
Wafikishie pole zangu nyingi na kwa waliobaki Mungu awape kupona haraka. AMINA.
 
Mwanajeshi mmoja kafariki papo hapo, dereva wa daladala kakatika miguu, na wanajeshi wengine wamejeruhiwa vibaya.
Sababu ya ajali ni kutanua kwa daladala iliyokuwa ikitokea Kawe na kugongana uso kwa uso na Landrover ya jeshi.
Injini ya Landrover imezama kiasi cha kuvivunja vunja viti vya mbele yaani dereva na abiria wa kushoto yake.

Source: Bonge wa PB
Thanks for update.
 
Nimepita maeneo haya asubuhi kuna Dala dala limegongana na Landrover 110 ya Jeshi, Naona miili tu inatolewa kwenye Landrover ya Jeshi.
So hurting.
Mlachake, uptade 1st post with this
Mwanajeshi mmoja kafariki papo hapo, dereva wa daladala kakatika miguu, na wanajeshi wengine wamejeruhiwa vibaya.
Sababu ya ajali ni kutanua kwa daladala iliyokuwa ikitokea Kawe na kugongana uso kwa uso na Landrover ya jeshi.
Injini ya Landrover imezama kiasi cha kuvivunja vunja viti vya mbele yaani dereva na abiria wa kushoto yake.

Source: Bonge wa PB
 
Huwa nawashangaa watu wenye tabia kama yako. When i was a kid niliambiwa its rude to ask such questions. Najijutia kuwa hata wanao watakuwa na tabia hizi hizi. Pole sana.
Mkuu jana nilikuona kwa mbali ukiwa umefunga mkono! Umeumia AMA shemeji alikupa kichapo?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom