Ajali mbaya Kibamba - Dar

Ukiacha hiyo ajali iliyotwaa uhai wa wapendwa wetu MUNGU awalaze pema,ilitokea nyingine tena hapohapo iliyohususha malori. Sijui ilitokea muda gani lakini nilipokuwa narejea home saa l usiku ndo malori hayo yanaondolewa hapo. Tangu saa l 00 hakuna gari kupita hadi saa nne ndipo njia ikafunguka hapo darajani lakini mbele barabara ilifungika kwa sababu ya kutanua hivyo kusababisha kila upande kujaa magari ya kutoka upande mmoja. Kimsingi jana ilikuwa ni kupata mateso bila chuki. MUNGU IBARIKI TZ na TZ BILA MATESO INAWEZEKANA????
 
Jamani eeh excuse my ignorance.................Designer wa hii barabara ni nani?......akina Fundi Mchiundo/Moran75/Mkuu Webby.............jamani huu mfereji vipi......yaani nina maswali mengi sanaaa...............
Vipi kuhusu safety audits ya hizi barabara zetu...........it is Sad kwa kweli........poleni sana wafiwa
...........Hii mifereji ni hatari sana, sijui kwa nini hawataki kuifunika, hii nadhani ni hapa Tanzania tu ndio kuna road designers wa jinsi hii...........hawajui hata kupangilia kazi zao vizuri hadi wanaacha mifereji wazi kwenye barabara..
Nchi nilizowahi kwenda sikuwahi kuona mifereji kama hii ipo wazi kwenye highway wala barabara za mitaani......hii ni Tanzania tu.
 
Invisible,

Kuna video moja inahusu mambo ya Safety inaitwa..........."Remember Charlie"..........i would recommend hii video kwa wafuatao

1. Familia zetu
2. Oil Industries
3. Wajenzi wote
4. Migodini
5. Zima Moto
6. Traffic Police
 
Back
Top Bottom