jingalao JF-Expert Member Oct 12, 2011 35,053 28,245 Nov 19, 2011 #1 kuna taarifa ya ajali mbaya huko biharamul o iliyohusisha basi la kuelekea bujumbura.inasemekana watu zaidi ya 30 wamepoteza maisha.
kuna taarifa ya ajali mbaya huko biharamul o iliyohusisha basi la kuelekea bujumbura.inasemekana watu zaidi ya 30 wamepoteza maisha.
Royals JF-Expert Member Nov 19, 2011 1,466 378 Nov 19, 2011 #2 ulikuwa wapi? ilishasomwa humu tangu saa kumi na moja jioni. inaonesha hauko makini.
T tizo1 JF-Expert Member Mar 9, 2011 856 145 Nov 19, 2011 #3 Kweli wewe jingalao.mbona ipo muda mrefu humu jamvini