Ajali mabasi ya Hai na Al Saedy Chalinze

MKUNGA

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
441
71
Nimepita Chalinze asubuhi hii bus la Hai limeligonga bus la Al Saedy kwa nyuma,abiria wapo stranded pale kama km 3 kutoka Chalinze mjini. Inasemekana chanzo ni tabia ya madereva wa mabasi kutokeep distance. Ajali hizi zitatumaliza kwa kweli. Sheria zibadilike madereva kama hawa waozee jela.
 
Jana nilisema hapa kuwa hawa madereva wanavuta bangi. ajali ni tatizo kubwa sana sasa hivi ni linatokana na uzembe au magari kutofanyiwa service
 
Jana nilisema hapa kuwa hawa madereva wanavuta bangi. ajali ni tatizo kubwa sana sasa hivi ni linatokana na uzembe au magari kutofanyiwa service


Hapo UMENENA.
Haya mabasi hutoka Mwanza, Arusha na kwingineko asubuhi na kuingia DAR usiku ama jioni, asubuhi yanapiga ruti tena.
Service inafanywa saa ngapi na lini? Kwa nini trafiki isifatilie jambo hili? kwa kweli ajali nyingi ni uzembe unaosababishwa na sisi wenyewe
 
Picha mkuu,isijekuwa umekurupuka kutuletea kitu kisichokuwepo kwa kuwa tu tushakuwa na matukio haya tokea jana
 
Majeruhi wote GET WELL SOON

Hii ni wiki ya kwenda kwa usalama au wiki ya ajali?? kamanda Mpinga upo??
 
Hivi ule uchaguzi wa ndani umeisha tayari?

Ule uchaguzi wa ndani bado na kama unakumbuka kabla ya uchaguzi wa 2010 kulikuwa na ukataji wa viungo vya albino. sasa hii nayo janga. ndo maana hatuendelei maana kafara kwa wasio na hatia zimezidi.
 
Back
Top Bottom