Ajali leo asubuhi pale kwenye mataa Superstar along Sam Nujoma road

Kalumbesa

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,013
356
Kwa Dar-es-salaam yetu,jambo kama hili ni la kawaida hasa mida ya asubuhi watu wanapokuwa na haraka kuelekea kwenye shughuli zao za kila siku.

Photo0008.jpg Photo0010.jpg Photo0011.jpg Photo0009.jpg
 
Kama ni magari tu yaliyoumia haitakuwa tatizo kubwa.

Kwa jinsi tukio lilivyo ni magari tu man,lakini pia watu wa usalama barabarani wana challenge ya kujitahidi kupunguza ajali barabarani leo hakuna aliyeumia usitegemee na kesho kutakuwa hakuna aliyeumia,watu hawafuati sheria kwa sababu wanajua tu traffic nitamuhonga nasepa,hasa magari ya serikali ndio usiseme!By the way nimependa sana avatar yako
 
hiyo image ya movie moja (cartoon) inaitwa ice age (ipo version 1 hadi 3 ) huyo squirrel anaitwa scrat na ktk v3 anakuja kupata kabinti kanaitwa scratte
 
hiyo image ya movie moja (cartoon) inaitwa ice age (ipo version 1 hadi 3 ) huyo squirrel anaitwa scrat na ktk v3 anakuja kupata kabinti kanaitwa scratte

Ya man naipata hii kitu nimeona hizo 1-3 nasubiria 4 ambayo itatoka soon !
 
Back
Top Bottom