Ajali kongowe

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Dec 7, 2007
4,555
3,649
Kuna ajali kama zaidi ya tatu hapa Kongowe.
Barabara zimefunga kabisa.
Ajali ya kwanza semitrela imelalia tax watu zaidi ya watatu inasemekana wamekufa
Ajali ya pili semitrela imelalia gari tatu, foleni ya ajabu. Unbelievable! vibaka nao wamepata uwanja wa kujidai.
 
kongowe maeneo gani? hapo darajani hapo barabara inapotengenezwa?. pole yao bahati mbaya huko ccm haija wajengea hospital hadi temeke. nawaonea huruma na foleni ya pale dar live.
 
Polisi nao wamezidiwa, kundi la wahuni badala ya kusaidia wahanga wanawanyang'anya mali zao.
Ajali imetokea tokea saa mbili hadi sasa watu hawajanasuliwa
 
duhuuuuuuuuu what is going on there is the same semitrela ndo lililolalia gari or what na sababu ni nini hasa
 
hapa karibu na kimlima Mbagala sokota
 
Polisi nao wamezidiwa, kundi la wahuni badala ya kusaidia wahanga wanawanyang'anya mali zao.
Ajali imetokea tokea saa mbili hadi sasa watu hawajanasuliwa

wahanu ndo wamonanga neema on this time kongowe sehemu gani
 
duhuuuuuuuuu what is going on there is the same semitrela ndo lililolalia gari or what na sababu ni nini hasa

ndio semi limelalia gari ya abiria tax, watu wamelia kuokolewa hadi wanakata roho, hakuna msaada, yaani its sad
 
Kuna ajali kama zaidi ya tatu hapa Kongowe.
Barabara zimefunga kabisa.
Ajali ya kwanza semitrela imelalia tax watu zaidi ya watatu inasemekana wamekufa
Ajali ya pili semitrela imelalia gari tatu, foleni ya ajabu. Unbelievable! vibaka nao wamepata uwanja wa kujidai.

Poleni weka picha basi mkuu tuone
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom