Ajali kimara Korogwe

Kumetokea ajali maeneo ya kimara resort ucku huu,imehusisha magar manne,inasadikika kuna watu wamepoteza maisha
sosi:mwananchi
 
RIP binadamu waliopoteza maisha, sina uhakika kama ng'ombe nao wamepoteza maisha, anyways RIP na ng'ombe pia
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hivi ni nini jamani? Mbona watu wanaisha kwa ajali, chondechonde madereva jamani, mbona kama vile hamjaenda chuo? Poleni wahanga wa ajali na pumzikeni kwa amani marehemu wote
 
Acha kutudanganya wewe mwananchi ya wapi mimi nimepita hapo nimeiona ajali ila inachanganya cjui ile gari ndogo imegongwaje na costa ilikuwa inatoka mjini au kimara coz iko juu ya msingi kati ya barabara mwenye data atuhabarishe ila foleni balaa
Ni kweli imetokea. Source: Mwananchi
 
Mie mwenyewe nikaa hapa stopover kwenye foleni kama saa 1,hakuna gari inakwenda mjini au inayotoka mjini.Magari yamefungana!
 
inaonekana ni ajari mbaya sana,kwani lori inasemekana halitamaniki na limeziba barabara

cha kushangaza baadhi ya watu wamekimbilia kubeba ng'ombe,kwa habari za Tbc watu 7 papo hapo wameaga Dunia ila idadi yaweza ongezeka,kwani lori lilikuwa ktk speed kubwa na kugonga hice upande wa dreva ktk upande huo uliogongwa hakuna aliyepona

mungu awarehemu
 
Poleni wafiwa wote. Mungu awape faraja kuu Watanzania wote maana inaonekana sasa kila siku ni ajali tu.
 
Kuna ajali nyingine imetokea leo mchana pale Relini Tabata opposite na Mwananchi Communication, hiace ilihama njia na kugonga lori. Mtu mmoja kafa hapohapo.
 
Ee Mungu wawote jaalia maana wengine hatujafika ndio kwanza tumekwama hapa Chalinze baada ya kusota Kitonga;Poleni sana majeruhi
 
Hivi ni nini jamani? Mbona watu wanaisha kwa ajali, chondechonde madereva jamani, mbona kama vile hamjaenda chuo? Poleni wahanga wa ajali na pumzikeni kwa amani marehemu wote

Tatizo sio madereva, nilisema hapa nikashambuliwa tuna serikali legelege ambayo inaangalia maslahi ya wageni, si mlimwona mama Kikwete alivyohuzunika na kifo cha mgeni? Watanzania wacha wafe waishe inchi ichukuliwe na wageni.
 
Kwa ajali hii dereva wa lori ni mzembe na anastahili adhabu kali, ameikwepa gari ndogo iliyokuwa na mtu mmoja ameenda kuua watu kibao, amesababisha vifo vingi na uharibifu mkubwa wa mali wakati angeigonga ile gari ndogo hata yeye asingeumia
 
Back
Top Bottom