Ajali Iringa-Mbeya road leo

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Ajali mbaya imetokea maeneo ya nyororo kama si kosei, imehusisha basi la Upendo Budget na lorry, miaka nipo ndani ya super feo naelekea mbeya. Hatujasimama kwa hiyo sijui wamekufa watu wangapi. Walio eneo la tukio watupe taarifa vema. Sijajua hili basi lilikuwa linaelekea wapi. Source ni mimi mwenyewe nimeona.
 
mkuu na ingine mbaya sana imetokea mbeya mjini jana 9.12.2011 - Mbeya Yetu

hatari sana
 
Ajali mbaya imetokea maeneo ya nyororo kama si kosei, imehusisha basi la Upendo Budget na lorry, miaka nipo ndani ya super feo naelekea mbeya. Hatujasimama kwa hiyo sijui wamekufa watu wangapi. Walio eneo la tukio watupe taarifa vema. Sijajua hili basi lilikuwa linaelekea wapi. Source ni mimi mwenyewe nimeona.

Mkuu nyie watu makatili sana kwanini hamkusimama japo mkatoa msaada kadri ambavyo mngeweza?!!
 
jamani mbona danger? kuna nyingine niliisoma hapahapa JF
imetokea Iringa Mafinga leo asubuhi.
 
Nijuavyo basi moja likipata ajari la nyuma husimama kusaidia kuokoa jahazi.
Sasa kupitiliza manake ajari haiwahusu?
 
Back
Top Bottom