Ajali hapa vigwaza, foleni balaa

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Nipo maeneo ya vigwaza kuna ajali ya lori la mizigo kuziba barabara kuanzia saa 22:00 hadi hivi sasa saa 4:40 gari hazitembei.
Imesababisha foleni ndefu inayofikia chalinze.
Wanajeshi wa kambi ya ruvu imebidi waongoze foleni.

UPDATES(5:20)
Hali bado ni tete gari kutoka dar na zinazoingia ni foleni kali, mnaojiandaa kusafiri mikoani jiandae kuchelewa kufika.
 
Nipo maeneo ya vigwaza kuna ajali ya lori la mafuta mali ya kampuni MT. Meru kuangukia gari ndogo na kuziba barabara kuanzia saa 22:00 hadi hivi sasa saa 4:40 gari hazitembei.
Nawasilisha.
Imesababisha foleni ndefu inayofikia chalinze.
Wanajeshi wa kambi ya ruvu imebidi waongoze foleni.

UPDATES(5:20)
Hali bado ni tete gari kutoka dar na zinazoingia ni foleni kali, mnaojiandaa kusafiri mikoani jiandae kuchelewa kufika.

daa,mkuu kuna majeruhi au watu waliopoteza maisha?
 
Poleni sana. Leo ulikuwa nisafiri lakini kwa hali hiyo inanibidi nisitumie usafiri wa barabara.
Asante sana kwa taarifa
 
Hali sio nzuri mpaka sasa 6:43 nipo vikwaza cjasogea popote.
 
Saa 7:10 foleni ya kuingia dar kwa sasa inatembea vizuri ila kwa inayotoka hali ni tete.
Ni bora wakapita njia ya bagamoyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom