Ajali Ajali uhasibu machinjioni.

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,643
68,584
Habari,

Nipo nimekwama hapa uhasibu nikitokea porini huko site,nimekuta truck imepinduka na askari wa barabarani wanaendelea na vipimo!

Nawasilisha.
 
kaka unatumia kamchina au tochi, tupia walau kapicha hata kamoko
 
Habari,

Nipo nimekwama hapa uhasibu nikitokea porini huko site,nimekuta truck imepinduka na askari wa barabarani wanaendelea na vipimo!

Nawasilisha.

Hebu funguka...uhasibu hapo dar/kurasini ama mbeya/mafiati,....hebu pambanua hiyo habari ili ueleweke mkuu...anyway nawatakia heri ya maisha wahanga wote.
 
Hebu funguka...uhasibu hapo dar/kurasini ama mbeya/mafiati,....hebu pambanua hiyo habari ili ueleweke mkuu...anyway nawatakia heri ya maisha wahanga wote.

Uhasibu machinjioni bongo mwana!
 
Pole Mkuu,
inaonyesha ulishalipa kanauli kwahiyo
unakomaa hapo hapo mkuu.
 
Taa hazifanyi kazi hapo zimewaka wiki moja tu ,hii nchi kwa usaniii .aahhhhhhh
 
ilikuwa alfrajiri ya saa 12 fuso limegonga mataa ya barabarani

fuso limegonga taa ngapi? Heri ingegonga taa zote zing'oke tu hazina faida, maana ziliwashwa siku mbili/wiki sijui mpaka leo jiiii...

Heri ingezigonga zote
 
Yaani taa zimegongwa kabla ya kuwashwa !! Afadhali zigongwe maana zilikuwa mapambo.

ziliwashwa kwa muda wa wiki moja.....

Afadhali zilivyogongwa....
Bado za chang'ombe nazo zigongwe...
Hazina faida zimekaa urembo tu...
 
Back
Top Bottom