Ajali! Ajali! Ajali!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Kumetokea ajali maeneo ya Kimara Baruti. Nimepita tu eneo hilo. Yaonekana kama ni lori na gari dogo. Aliye hapo,atujuze..
 
Nimeshuhudia lori aina ya Scania limegonga na kulikandamiza gari dogo toyota corola mpaka naondoka watu ndani ya gari ndogo hawajatolewa
 
Duuuuuh aisee wenye magari makubwa wanatuonea sana wenye magari madogo.
 
Poleni waliopata ajali..

Lakini mkuu hii taarifa ya ajali unavyotangaza kama vile unauza bidhaa ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom