Ajabu: Tangu 2014 Simba SC hawajawahi ifunga Yanga SC

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
Heshima kwenu wakuu,

Yaani kila Mwanasimba ninayemuuliza mara ya Mwisho mumeifunga yanga lini, wanaishia kurusha kejeli na kumsema Jerry Muro.

Lakini ukweli ni kwamba Simba si chochote si lolote mbele ya Yanga SC. Hii ni aibu kwa timu inayojiita ya kimataifa kushindwa kuifunga yanga Tangu enzi hizo hata Rais Magufuli hajawa rais hadi sasa ni rais lakini mumeshindwa Ifunga Yanga.

Kelele Simba wanazopiga ni za nini? au za kuifunga Ndanda na stand united?

Namomba kujua Simba wanajivunia nini hasa hadi tunashindwa kulala usiku sababu ya makelele yao
 
Kwa maana hiyo Yanga si lolote kwa Simba, msemo wako ni sawa kusema mke yule na umalaya wake wote, ila fulani anamtongoza mwaka wa pili sasa hajampata.
 
Heshima kwenu wakuu,

Yaani kila Mwanasimba ninayemuuliza mara ya Mwisho mumeifunga yanga lini, wanaishia kurusha kejeli na kumsema Jerry Muro.

Lakini ukweli ni kwamba Simba si chochote si lolote mbele ya Yanga SC. Hii ni aibu kwa timu inayojiita ya kimataifa kushindwa kuifunga yanga Tangu enzi hizo hata Rais Magufuli hajawa rais hadi sasa ni rais lakini mumeshindwa Ifunga Yanga.

Kelele Simba wanazopiga ni za nini? au za kuifunga Ndanda na stand united?

Namomba kujua Simba wanajivunia nini hasa hadi tunashindwa kulala usiku sababu ya makelele yao
Si kweli we Figganiga huna kumbukumbu nzuri, ni mwaka jana tu 2015, mwezi wa pili, katika mechi ya mzunguko wa pili ligi kuu 2014/2015 yule mshambuliaji habari kabisa katika lango la Yanga, ambaye records zinaonyesha 2013 alisababisha Yanga ipigwe 5 kwa 0, alifunga bao pekee kwa shuti la mita 40 lililopelekea Barthez kuwekwa bench hadi mwisho wa musimu.
 
Kumbuka Emmanuel Okwi anarejea dirisha dogo desemba
 
Kuna muda simba Analia Mo mo mo Mo mo

Sasa mi huwa najiuljza huo ndio mlio wa simba au ni wa Ng'ombe..!!

Waiter zungusha tena
 
Miaka miwili kwa soka unaichukulia kimchezomchezo?
Tafuta idadi ya mechi walizokutana ndani ya miaka hiyo miwili kisha urudi hapa kuuliza huo ujinga wako .
Hv toka 2003 mpka 2008 kulikua na mech ngap achen upuuzi wenu nyie wanayanga au mnangalia mnachoweza kuona na sio kinachotakiwa kuonwa
 
Miaka miwili kwa soka unaichukulia kimchezomchezo?
Tafuta idadi ya mechi walizokutana ndani ya miaka hiyo miwili kisha urudi hapa kuuliza huo ujinga wako .
Mwaka mmoja wa soka unachukua miezi kadhaa ya kalenda ya mwaka jana na miezi kadhaa ya mwaka huu. Usipokuwa na ubongo wenye kumbu utahesubu miaka miwili, Rudi kwenye kumbukumbu ukimaliza jazibaa, maana mchezo Dada Nifah, hasira. Yanga baada ya miaka kadhaa, amemfunga simba msimu mmoja tu wa ligi, 2015 - 2016 huko nyuma ni majanga tupu, ilifikia wakati Yanga wakitoa sare wanaenda kufanya sherehe.
 
Nashukuru kuwa Yanga maana siko katika lile kundi la mambumbumbu waliosemwa na Mwenyekiti wa Simba mwenye asili ya Somalia
 
Unajua nini, umbumbu sio tusi hasa ukimwita mtu mwenye elimu yake kichwani, maana anajua maana yake. Ila neno hili ni tusi kubwa kwa asiye elimu kichwani, na asie elimu anaweza pia anaweza tumia neno hili kama silaha kwa wengine, kama unavyolitumia hapa. Ila umbumbu ni kuto jua kitu, na siku za hivi karibuni tumeona mwenyekiti wa Yanga akiitisha vikao ambavyo tayari anamaadhimio yake kichwani, na wanachama yanga kazi yao ni kupitisha maadhimio ya Manji, wakati upande wa pili wakijadiliana ikiwezekana hata kuvunjika kikao kwa kuto kubariana wote wakitaka kujilizisha. Hili ukilijaribu kulifanya pale jangwani uanacha wako uko shakani.
 
Tarehe 1/10 utashika ukuta tuu mnyama atanguruma
Baada ya kumshushia kbano heavy Azam, sasa hyo tar 1/10 Yanga atataga
1474691501997.jpg
 
GENTAMYCINE eeeeh,njoo huku uweke kumbukumbu sawasawa,kuna wajingajinga wa vyura FC, wazee wa kukodisha timu yao kama fremu za Kariakoo wanachonga bila ya kuwa na kumbukumbu sahihi,njoo mkuu,au unasikilizia uteuzi wa Bodi mpya ya gazeti lako pendwa la Uhuru?
 
Back
Top Bottom