Ajabu! kama tz haitaikubali ICJ katika issue ya lake Nyasa......

Mwana wa Mungu

JF-Expert Member
Aug 14, 2008
1,003
83
Ajabu ni kwamba, ili mahakama haki ya umoja wa mataifa ni lazima nchi zote mbili kwenye mgogoro zikubaliane kuwa kesi hiyo ipelekwe, yaani free concent of both state parties to the dispute lazima iwepo kwamba wote wawili watapokea na wanakubali jurisdiction of the court. kama sisi tukikataa na kusema kuwa hatutaki suala hili liende kule ICJ labda kwasababu tumeona tukienda kule tutashindwa, tukaamua kungá ngá nia suala hili lijadiliwe tu na mpatanishi au ala sisis sote tz na malawi tuliache ziwa hili bila kutafuta mafuta....basi ICJ haitakuwa na nguvu kushughulikia kesi hiyo (hadi nchi zote mbili zikubaliane. The Court's jurisdiction is based on the consent of the parties. States have the option to accept or not to accept the Court's jurisdiction and can do so under terms and conditions they determine themselves. However, once a State has granted its consent, and when a dispute that falls within the scope of that consent is submitted to the Court, the State must subject itself to the Court's jurisdiction.

USHAURI WANGU: Tanzania tusikubali hili jambo liende ICJ kule the Hague (sio icc, jua kuwa pale the hague kuna mahakama nyingine ya kimataifa inayoitwa ICJ..international court of justice ambayo inashughulikia nchi na nchi sio individuals, ila ICC ya ocampo ndo haishughulikii nchi na nchi bali individual perpetrators). tusikubali iende kule ICJ tukatae kabisa jurisdiction ya court hii, kwasababu you never know, tukienda kule malawi wanaweza kuwa wanapendwa na wamagaribi kwasababu wamekaribisha ushoga kwao wakatushinda pale....sisi tusema kuwa hatuikubali jurisdiction ya ICJ katika hili hivyo jambo letu litajadiliwa na msuluhishi, na kama la basi sisi hatuliachii hili ziwa ng'ooo liwalo na liwe....
 
ushauri huu nampa mwanasheria mkuu wa serikali na ninaamini pale posta ofisini kwake anao wanasheria wa kutosha na ameshaanza kuwaandaa kujadili jambo hili namna gani tz tutatoa sababu za kuendelea kumiliki ziwa hili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom