Ajabu,eti mwl.wa primary haungi mgomo!

Q700

Member
Jul 4, 2012
50
6
Inasikitisha,na kushangaza,kusikia eti baadhi,ya maeneo,walimu wa primary hawakusaini fomu za kuunga mgomo,wakati wao ndo wana hali mbaya ya mishahala midogo! Uu tuuite ujinga au..?
 
Wengi wao wapata 0 form four wakanunua vyeti ili wakasome alau ualimu. Hivyo wanaona hata huo mshahara ni mkubwa mno hawawezi kugoma.
 
Kuwa na mtazamo tofauti si ujinga bali mtazamo tofauti

Ni ujinga mkuu!! siyo mtazamo tofauti...au ndiyo kweli kuwa wengi walifoji vyeti kwa ajili ya kupata angalau UALIMU na hivyo wanaona wakigoma watafukuzwa kazi na watakikosa hata hicho kodogo wanachokipata???? Kazi kweli.
 
mbona hao wapo wengi sana hao, hata wangeambiwa na ccm walipie hewa wangelipia 2 hata kama hawana kitu
 
Ni ujinga mkuu!! siyo mtazamo tofauti...au ndiyo kweli kuwa wengi walifoji vyeti kwa ajili ya kupata angalau UALIMU na hivyo wanaona wakigoma watafukuzwa kazi na watakikosa hata hicho kodogo wanachokipata???? Kazi kweli.
kwa kifupi ni maJUHA plus
 
Wengi wao wapata 0 form four wakanunua vyeti ili wakasome alau ualimu. Hivyo wanaona hata huo mshahara ni mkubwa mno hawawezi kugoma.
mathew tusiendekeze ujinga wa kusapoti waliokwisha ujkubali ujinga....hivi utafanyiaje kazi cheti cha kununua au cba mwenzio? Inamaanisha wewe hauexist
 
Hali ngumu ya maisha kutokana na mishahara midogo wanayoipata ndiyo iliyo wafanya waogope kujaza form hizo kwani wanaogopa kupoteza hata hicho kidogo wanacho kipata.
 
Back
Top Bottom