AJABU: Chenge aitetea DOWANS ilipwe!

Kama ipi? Mbona juzi tumeona Kikwete akishinda kesi ya Mabilioni ya Rada, madudu yaliofanywa na Mkapa?
Awali nilidhani upo humu kutetea CCM na mafisadi kumbe I was wrong. Wewe upo si kwa ajili ya CCM ila kwa ajili ya JK na udini.
Hilo nimelinusa. Hata hivyo wenye fikra pevu wanakudharau.
 
Kama ipi? Mbona juzi tumeona Kikwete akishinda kesi ya Mabilioni ya Rada, madudu yaliofanywa na Mkapa?

kama kashinda yeye kweli mbona hela yenyewe hawampi sasa? Madudu yaliyofanywa na Mkapa, Chenge akiwa mwanasheria mkuu na handsome boy akiwa waziri wa mambo ya nje.
 
Huyu Kenge hatuhitaji kumwomba radhi, tunatakiwa kumpuuza maana alichokitoa ni ushauri wa kijinga ambao hautufai hata kuufikiria! Ni mjinga, tumwache apite.
 
Wakati umefika wa watanzania kuthamini nchi yetu na kuacha kushabikia siasa. Huyu mtu anadhihirisha dhahili kuwa hakuwa mzalendo na nchi yetu ingawa alipewa nafasi kubwa tu. Naomba Serikali ipitie mikataba yote aliyopitisha wakati akiwa kwenye uongozi 'mwanasheria mkuu' kwani jamaa alikuwa anamaslai binafsi kama kile alichokuwa anapitisha ndio zile 'vijisent' havilingani na mishahara na malupulupu ya mtumishi wa umama. Iwapo serikali itashindwa kumuwajibisha sisi watanzania tuamue kwa mikono na akili zetu tuchukue hatua zidi ya huyu 'NDULI' GAIDI WA NCHI YETU'.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
jamani nawashauri huyu jamaa kama vipi tumshauri aende kule tarime akashauri wale ndugu zetu wasiingie mgodini ili wawekezaji waeendelee kuhamisha mali yetu
 
kama kashinda yeye kweli mbona hela yenyewe hawampi sasa? Madudu yaliyofanywa na Mkapa, Chenge akiwa mwanasheria mkuu na handsome boy akiwa waziri wa mambo ya nje.

Duhh, labda hufatilii habari za nchi yako.
 
Awali nilidhani upo humu kutetea CCM na mafisadi kumbe I was wrong. Wewe upo si kwa ajili ya CCM ila kwa ajili ya JK na udini.
Hilo nimelinusa. Hata hivyo wenye fikra pevu wanakudharau.

Looo. Mdini = msema kweli. Kwa hapo ume analyze vizuri sana. Mimi ni mdini tena Muislaam, Jee wewe?
 
Nakumbuka Bunge lililopita, Mbunge mpya kwa tiketi ya cdm, Tundu Lissu, alipokuwa anajitafutia umaarufu Bungeni kwa kufanya u"tundu" na kuzua malumbano kwa kila hoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, alisimama Chenge na kumpa Tundu hoja moja tuu ya kisheria ambayo ilimfanya Tundu kuwacha utundu wake wa kulumbana, kwani kwa pale ilidhihirika wazi kuwa Tundu ni katoto kwa Chenge kisheria. Nani anaekumbuka?

Kwa mantiki hiyo, ikiwa Chenge kasema fedha ya Dowans walipwe, basi ujuwe kaiona sheria kwa jicho la wazi na anajuwa kutokuwalipa Dowans kunaweza kuleta utata zaidi na kuliingiza Taifa kwenye utata zaidi, Jee, inawezekana kuwa hata Symbion hawatakubali kulipia mitambo ambayo bado ina deni?[/QUOT
Acha upuuzi wako hatuwezi kukubali ujinga eti kwa vile chenge anajua sheria,yeye ndio alituingiza kwenye hii mikataba ya kinyonyaji kwani by the time alikuwa hajui sheria...unapaswa kujua kuwa chenge sio mzalendo labda kama una personal interest naye..

Ulinyonywa nini kwenye mkataba wa Dowans ambao hujaulipia mpaka umeamriwa na wapatanishi wa kibiashara wa kimataifa (ICC) kuwa ulipe usinyonye haki ya mtu! Hivi huu utumbo mnaoongea mnautoa wapI?
 
ndugu zangu watz ninawaomba kama ni kweli kuhusu huyu chenge akamatwe hadharani na akatwe kichwa maana ufidadi wake sasa umeiva. hivi anajua kuwa kuna watz hawana uhakika wa kula mlo hata mmoja.nawasilisha.:mod:
 
Nakumbuka Bunge lililopita, Mbunge mpya kwa tiketi ya cdm, Tundu Lissu, alipokuwa anajitafutia umaarufu Bungeni kwa kufanya u"tundu" na kuzua malumbano kwa kila hoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, alisimama Chenge na kumpa Tundu hoja moja tuu ya kisheria ambayo ilimfanya Tundu kuwacha utundu wake wa kulumbana, kwani kwa pale ilidhihirika wazi kuwa Tundu ni katoto kwa Chenge kisheria. Nani anaekumbuka?

Kwa mantiki hiyo, ikiwa Chenge kasema fedha ya Dowans walipwe, basi ujuwe kaiona sheria kwa jicho la wazi na anajuwa kutokuwalipa Dowans kunaweza kuleta utata zaidi na kuliingiza Taifa kwenye utata zaidi, Jee, inawezekana kuwa hata Symbion hawatakubali kulipia mitambo ambayo bado ina deni?

hebu tueleze kihususa ni hoja gani aliyotoa fisadi Chenge
 
huyu jamaa nafikiri akili zake zilikufa pia kwenye ajali ya gari yake na bajaji?This is nonsense!
 
Kama ipi? Mbona juzi tumeona Kikwete akishinda kesi ya Mabilioni ya Rada, madudu yaliofanywa na Mkapa?

Haikuwa kesia ya Rada bali ya EPA, kumbuka pesa za EPA Maranda na mwenzake ni kiasi kisichofika 2 billion, lakini Kagoda mwenye 40 billion hajaguswa mpaka sasa, na pesa hizi inasadikika zilitumika kumuweka Kikwete madarakani hivyo hayakuwa madudu ya Mkapa bali yake mwenyewe. Wewe tatizo lako uko tayari kumtetea mkuu wa kaya kwa uchafu wote anaoufanya na alio ufanya ila anazidi kukuangusha kama hili la sh. 500 million kwa picha tu BOT acha furniture za sh 40 billion na ukarabati wa jengo jipya (twin tower) kwa sh. 5 billion kwa mwaka. Hata ukitetea watanzania wanayaona na yanaingia myoyoni mwao na kuwaumiza.
 
Hivi hii sio sababu ya kumshataki jamani? Tanzania yetu jamani. Tumeamua kujilipua wenyewe .
 
Ndio, jee wewe?? unatoa huduma bure?
Chenge ana hasira na JMK kwa kutokuwa na msimamo tena kwao (KUWATETEA MAPACHA WATATU). Hivyo anataka afe na watanzania, potelea mbali hata chama cha magamba kikichinjilia baharini. Wakuu mnajua jk yuko njia panda hajui afanye nini, anaogopa kuwatosa jamaa zake huku akijikosha kwa wananchi kuwa wanajivua gamba. USICHEZE BWANA NA GAMBA LA UFISADI NI GUMU, CCM HAWAWEZI WADANGANYIKA NDIYO WANAWEZA KUFANYA HIVYO. MAANA HILI NI GAMBA LA KOBE, TO TAKE OFF YOU MEAN YOU ARE KILLING MR TORTOISE.
 
Mbunge wa Bariadi pamoja na tuhuma nzito zinazo onyesha negative atitude kwa WATZ kama vile tuhuma dhidi ya rada, kumiliki mabilion ya fedha nje ya nchi, kutia mkono wa kumuondoa spika SITTA aliye pendwa na WATZ wengi kuwa spika wa Bunge Leo napata habari mbaya kwetu kuwa CHENGE amepeleka ushauri mzito wa kisheria ili DOWANS walipwe sh. 94 bil. (source GAZETI LA NIPASHE) CHENGE kama kuna kosa WATZ wamekufanyia basi wasamehe bure !!!! Mbona wao awnakupenda wamekupa ubunge (kama hukuchakachua) kuonyesha wanakupenda tusamehe tu hata kama una mgawo DOWANS

Huyu ana URAIA wa Marekani kama Balali!!!!!!!!
 
Chenge ana hasira na JMK kwa kutokuwa na msimamo tena kwao (KUWATETEA MAPACHA WATATU). Hivyo anataka afe na watanzania, potelea mbali hata chama cha magamba kikichinjilia baharini. Wakuu mnajua jk yuko njia panda hajui afanye nini, anaogopa kuwatosa jamaa zake huku akijikosha kwa wananchi kuwa wanajivua gamba. USICHEZE BWANA NA GAMBA LA UFISADI NI GUMU, CCM HAWAWEZI WADANGANYIKA NDIYO WANAWEZA KUFANYA HIVYO. MAANA HILI NI GAMBA LA KOBE, TO TAKE OFF YOU MEAN YOU ARE KILLING MR TORTOISE.
Chenge ana hasira na JMK kwa kutokuwa na msimamo tena kwao (KUWATETEA MAPACHA WATATU). Hivyo anataka afe na watanzania, potelea mbali hata chama cha magamba kikichinjilia baharini. Wakuu mnajua jk yuko njia panda hajui afanye nini, anaogopa kuwatosa jamaa zake huku akijikosha kwa wananchi kuwa wanajivua gamba. USICHEZE BWANA NA GAMBA LA UFISADI NI GUMU, CCM HAWAWEZI WADANGANYIKA NDIYO WANAWEZA KUFANYA HIVYO THRU KURA. MAANA HILI NI GAMBA LA KOBE, TO TAKE IT (GAMBA) OFF YOU MEAN YOU ARE KILLING MR TORTOISE.
 
Back
Top Bottom