Aisha madinda

JAMIETZN

Member
Apr 25, 2009
72
1
Salamuni !!

Ndg. Kichwa cha habari cha husika.

Kutokana na kutokupata news za Tanzania kwa wakati nimejikuta nikifungua Link moja ya Asha Baraka akifanyiwa mahojiano kuhusiana na uboreshaji wa Bendi ya Twanga Pepeta ndani ya you tube. Hongera Asha Baraka kwa hilo.

Kilichoni fanya kulitaja Jina la Aisha Madinda ni kile nilichokisikia katika mahojiano hayo japo kwa ufupi kuhusiana na AISHA MADINDA kufanyiwa unyama na mwanaume. Je mwenye habari kamili kuhusiana na hili anaweza kunijuza ni kitu gani mbaya kafanyiwa mnenguaji wetu mahiri wa Twanga pepeta?

Na je mwana ume huyo amechukuliwa hatua gani za kisheria kwa kitendo hicho kama hakiendani na maadali ya Kitanzania?

Busara itumika katika kujibu na kuchangia hoja zenye kuwahusu ma cerebrity wetu.
 
yanakuhusu????

uliposikia kawaulize hao hao wana majibu
aama nenda google.com
 
kama uko protective vile?? vipi umempenda? mtafute....
 
pole sana kasome magazeti ya shingongo kule utavipata visanga vya Aisha madinda
 
Sina uhakika anatujua vizuri. We are great thinkers and not "Great gossipers"[QUOTE=FirstLady1;898145]pole sana kasome mahazeti ya shingongo kule utavipata visanga vya Aisha madinda[/QUOTE]
 
Ni vizuri kukaa kimya kama huna jibu lakini sio kuleta dhihaka kwa muuliza suala. Mwenye jibu jamani tumsaidie mwenzetu.
 
mimi nilimuona juzi jukwaani akikatika mauno, naona anarejea katika kiwango chake cha kawaida. sasa ningepata hili swali mapema ningemuuliza hiyo habari , kifupi yule dada huwa haninyimi neno...... lakinihadi nimuulize, anaaibu kiasi, hivyo kama humuongeleshi hawezi kukwambia kitu namimi namjulia.
 
yanakuhusu????

uliposikia kawaulize hao hao wana majibu
aama nenda google.com

Mkuu/ dada yana nihusu kwa njia moja au nyingine, Mpenzi wa dance na mshabiki wa unenguaji wa dada au mdogo wangu Aisha, Nilitegemea busara sikutegemea kuona kiwango chako kidogo cha kujibu. Jifunze kutoku jibu kila hoja. Huwa na maanisha zaidi ya kuandika.

Jamii Forum ni kubwa na ina watu wengi wenye uelewa tofauti na taarifa tofauti, Huwa sitegemei GOOGLE bali watu wenye busara za kujua na kusaidia katika kupeana taarifa.
 
kama uko protective vile?? vipi umempenda? mtafute....

MWINGINE HUYU !!! Swali hili lina husiana vipi na kupendana/ kutafutana ? Niliomba kufahamu ni kilicho msibu, kama mikasa mingine na si issue za kimapenzi.
 
Back
Top Bottom