Angekuwa na maono sahihi na kusimamia vema raslimali tulizowekewa na Mungu katika nchi yetu mbona haya yanawezekana tu!!! Tatizo yeye amejikita kwenye anasa na ushirikina , hii itabaki kuwa ndoto ya mchana kwake na wabongo wote mpaka CCM iondoke madarakani
ndoto ya mchana. kwasasa hivi Algeria wanafanya jambo hili na linawagarimu trillion za kitz kama25 hivi, mara ngapi ya bajeti ya tz hiyo? kikwete anaitaji kupumzika.
kwa JK labda viini macho vya yule mtabiri wake wa nyota, atugeuze macho tuone daladala ndio hayo mambo!!!
Mwenyewe aliulizwa kule UINGEREZA kwa nini TANZANIA ni maskini wakati inarasilimali kibao...akajibu, MWENYEWE SIJUI!!!!
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAAAAAAAAAAAAAAAAAA, pOLE KWERE, JK
Nilipoona tu hizo treni nilijua kuwa hapo itakuwa Ujerumani. Na hiyo treni stesheni (picha ya tatu) ni Berlin na ndo treni steshen kubwa kuliko zote duniani. Ukifika pale utafikiri uko uwanja wa ndege na wame-diverge mto kujenga stesheni hiyo amabyo ilifunguliwa rasmi mwaka 2006 (kama sikosei). Treni zinapita juu na chini we acha kabisa. jamaa wako mbali mno. With Dr. Slaa tutaanza kuelekea huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.