Aiseeee!!Khaaaaa!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Nilishangaa baada ya kusikia makelele usiku wa jana nilipokua narudi nyumbani kutoka kwenye pilika za kutafuta mkate wa kila siku,kelele zile zilikua baina ya jamaa mmoja na dada mmoja wakabishana kuhusu malipo ya yule dada kwani alikuwa ni changudoa,alikua anadai hela zaidi ya aliyopewa.Jamaaakawa anabwabwaja"kwanza wewe umesikia raha kuliko mimi hata hiyo hela nimekupendelea"hapo ndipo nilishangaa hivi ni kweli wanawake wanapata raha kwenye mapenzi kuliko sisi wanaume????
 
raha ni kwa wote hasa ukiwa umeridhika,unahitaji,na maandalizi mazuri.Sawa Eiyer?
 
raha ni kwa wote hasa ukiwa umeridhika,unahitaji,na maandalizi mazuri.Sawa Eiyer?

May your right,but ule msemo mkuna na mkunwaji nani anasikia raha waujua?Anway ngoja tusikie kutoka kwa ladies wengine!
 
raha ni kwa wote hasa ukiwa umeridhika,unahitaji,na maandalizi mazuri.Sawa Eiyer?

u may be right,but ule msemo mkuna na mkunwaji nani anasikia raha waujua?Anway ngoja tusikie kutoka kwa ladies wengine!
 
Hivi kula changudoa kuna raha gani? Manake mara nyingi hao watu huwaga ni fornication tu basi. Yale mambo yaliyo accessory yanogeshayo mamboz huwa hayatendeki. Hiyo si raha kamili bana.
 
Hivi kula changudoa kuna raha gani? Manake mara nyingi hao watu huwaga ni fornication tu basi. Yale mambo yaliyo accessory yanogeshayo mamboz huwa hayatendeki. Hiyo si raha kamili bana.

Jamaa alikua anajitetea hivyo ila ndo nikapata swali la dizain hiyo kichwani kwamba Hiyo dhana jamaa ameitoa wapi?Je ina ukweli?
 
Hivi kula changudoa kuna raha gani? Manake mara nyingi hao watu huwaga ni fornication tu basi. Yale mambo yaliyo accessory yanogeshayo mamboz huwa hayatendeki. Hiyo si raha kamili bana.

Una uzoefu na machangudoa, tupe zaidi.
 
Wanawake ndo wanapata raha sana we huoni wanavyolalamika wakati wa mikito, wewe unajikaza kama huendi gym unaweza ubanwa na msuli.
 
Kwani ume observe nini?Gud mrng!

Morning to you too... Hope you enjoy your weekend...

:focus:

Eiyer mara nyingi mida ambao guys wako confident kutafta CD hua late saana..
Qn; Eiyer kweli alitoka safari zake that late au ndo mhusika?

Jamaa alilalama kua yule CD kasikia raha kuliko yeye...
Qn; haina logic after all guys wana guarantee ya kufika safari kuliko mdada..
Qn; huyo kaka alikuja kununua ngono hapo mambo ya dada kusikia raha hayamuhusu...

OBSERVATION: I feel like wewe ulitaka tu kupata jibu ya hili swali lako:-

hivi ni kweli wanawake wanapata raha kwenye mapenzi kuliko sisi wanaume????

ADVICE: Kama ndo uzi wako woote shida ni kujua hili suala,
umekosea kuwakilisha maana members wako more interested
kujua yeye Eiyer aliplay part gani katika the whole scene...
than kutoa majibu nani anasikia raha zaidi....

Sijui umenipataa??
 
Mzee usiwe na mazoea ya kupiga chabo, uswahilini watakumwagia maji yaliyooshewa vitunguu!
 
Nimekupata!Asha D,Kisanga hicho kilitokea karibu na nyumba ya wageni moja inaitwa Misungwi hapa kwenye jiji la mwanza ilikuwa mishale ya saa tano usiku nikiwa naenda home nikakutana na hicho kisanga,nikasikia jamaa akilalama!
 
Bora umedadafua...lol.. Nimekupata sasa....
 
Nimekupata!Asha D,Kisanga hicho kilitokea karibu na nyumba ya wageni moja inaitwa Misungwi hapa kwenye jiji la mwanza ilikuwa mishale ya saa tano usiku nikiwa naenda home nikakutana na hicho kisanga,nikasikia jamaa akilalama!
<br />
<br />
Aisee Misungwi? Mie ndo nimezaliwa huko na ninaishi Maswa a.k.a Lalago
 
Theres a thin line btn mahusiano ya mapenzi , urafiki na mambo ya kikubwa.But why a jf GT cant differentiate btn the two subfoums ????
 
Alijuaje kama huyo mwanamke ndo amepata raha zaidi.kama ni raha wote huwa wanapata,na ndo maana wote huwa wanataka.
 
Back
Top Bottom