Aiseeee baba yanga ajali tena

MATESLAA

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,246
74
Aisee baba yangu naangalia itv hapa kwa mwenyekiti wa kijiji hizi ajali zitatumaliza,nilikuwa na mpango wa kwenda dar es salaam tanzania ila nimegairi mpaka mwezi wa kumi 10 manake nasikia huu mwezi si mchezo ngoja nigoje habari ya pili huku nikingoja mbege
 
We lazima utakuwa chizi.
 
Sasa Mkuu Rombo, hii unayotuletea ni habari ya kisiasa au maisha yako binafsi? Hebu tufafanulie zaidi maana hueleweki.
 
Back
Top Bottom