Aisee...!?.?

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Je, ukimfumaniwa dada yako kwenye kona akibambiwa. Utachukua uamuzi gani?.

Mimi binafsi.
Nitakimbia sana, sitapenda hata wajue kuwa nimewaona ili tuzidi kuheshimiana.
 
mi dada yangu nilikuwa namlinda sana baadaye nikamchoka,cha kutakiwa unamweleza tu ukweli wa mambo na madhara yake,
ila maamuzi mwachie yeye
 
Unataka Umfisadi mpk dadayo? Pelekesha mawazo yako huko! Kweli hawa watumwa wa mafisadi ni vilaza,mpk kwa dada zao,mtawakosa hata mashemeji. JIREKEBISHENI!
 
hapa swala sio kumlinda. Wewe umkute amebanwa kwenye kona utafurahia.
 
mi dada yangu nilikuwa namlinda sana baadaye nikamchoka,cha kutakiwa unamweleza tu ukweli wa mambo na madhara yake,
ila maamuzi mwachie yeye

umeshamfuma sasa. Utapenda atambue kuwa umewaona au utajificha.
 
Je, ukimfumaniwa dada yako kwenye kona akibambiwa. Utachukua uamuzi gani?.

Mimi binafsi.
Nitakimbia sana, sitapenda hata wajue kuwa nimewaona ili tuzidi kuheshimiana.
Nitafurahi sana, nitajua kumbe dada yangu nae mzuri?
 
Mini ningeenda kuwasalimia na kumuomba huyo shemeji asije akamtosa dada, na ningemshauri tu aje nyumbani kujitambulisha ili wawe huru.........................
 
Back
Top Bottom