Aisee papaangu..... tumwokoe Joisi!

Aisee....!Mrema na Mremi,
Massawe na Masao,
Moshi, Mosha, Mushi na Mwasha,
Kimaro na Kimario....Yaaaani...yaaaani..........mnamuacha Manka au Joisi ajirushe?

Kiruu....siwaelewi!
 
Hivi hii si ni sanamu ilijengwa baada ya binti kujirusha mtoni i.e kujiua? Nafikiri alipata ujauzito bila ndoa na kwa pande hizo it was a crime, those years? Hebu tukumbushane!!!
 
Nafikiri ilikuwa mimba ya mzee Horombo wa kule Mashati, Rombo.
 
Hivi hii si ni sanamu ilijengwa baada ya binti kujirusha mtoni i.e kujiua? Nafikiri alipata ujauzito bila ndoa na kwa pande hizo it was a crime, those years? Hebu tukumbushane!!!
ndo ivo mkuu
 
mboro na mboya nkiki hamsikyii njoni basi tumuokoe jamani au mnasubiria mbeje kwenye msiba.

Huu ukoo haupo tena kule Moshi, walishabadili jina baada ya kuona kiswahili kina leta utata na jina lao. So no more Mb..r. clan kwenye pande za kule.
 
mboro na mboya nkiki hamsikyii njoni basi tumuokoe jamani au mnasubiria mbeje kwenye msiba.
Ha ha ha !
Nilikuwa na mwanafunzi mwenzangu alikuwa anaitwa Mboro Sululu.
Mwalimu mgeni wa kike akifikiri tuna mtania vibaya na karibu tupewe adhabu, mpaka alipocheki vyeti vyake.
 
kibantu samtaimz utata mpogoro ameshawahi kukwambia anakupenda?kama hajawahi hebu muulize wao kupenda wanaitaje.
 
Back
Top Bottom