Aisee!Kumbe na huyu mzee yupo JF!...

Kumbe ulikuwepo muda ule natoa nasaha pale,natamani ningekuona

Nilikuwepo Baba V nimekubali we mkaree kwakweli mm binafsi ninakushukuru sana nasaha zako zimenisaidia saana yaaani pia nilikuwa sijui kwamba ile story inafundisho kubwa kiasi hicho!....
Nashukuru sana!..
 
Last edited by a moderator:
Kuna prof mmoja humu, lol! Nilimuona id yake kaacha kwenye pc. Siku akinijua hehehe.
Shkamoo mwalimuuuu!

Dah!.. King'asti unaenjoy ajabu post za prof hebu nidokeze kidogo kuhusu michango yake ya MMU ni prof pia kwenye mambo hayo?...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom