Aisee, huu ni uonevu!

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,785
Nilianzisha jana thread titled "mke wa mtume" kwenye jukwaa maalumu la dini! hii thread kwa sababu nisizozijua ilifutwa, kwanza nilidanganywa kwani "mark" ilikuwa inaonyeshwa -moved, ukweli ni kuwa hii thread haikuwa moved ilifutwa.

Nikaenda jukwaa la complaints kuhitaji maelezo kwa nini thread imefutwa, naomba maelezo ili nisije rudia kosa, sijajibiwa ndani ya open thread, ILA MTUMISHI( SIJUI NI MOD) AMENIJIBU kwenye PM kuwa nimetumie title ambayo ni 'kufuru' kama hiyo haitoshi, nimerudi kuangalia thread yangu kwenye jukwaa la complaints yenye title "MODS where is my thread'? nayo kwa mshangao imefutwa!

Nimemuuliza Mtumishi( mod) kuwa mnaposema title ya kukufuru mnamaanisha nini? kuna titles kwenye jukwaa la dini nyingi titles kama : "anal sex in islam", "mtume alifanya mapenzi na maiti", Catholic Church Is 'Like The Mafia', Similarities Between Pagan and Christian Practices,Ukristo umejengwa juu ya shetani,Ndoa ya hadija na Muhamad,Marehemu Paulo anawakataza wakrito kutahiriwa !

Hivi hizo title na title yangu "Mke wa mtume" ipi ina kufuru? contents ndani ya thread yangu ni mambo yaleyale tunayojadili miaka nenda na miaka rudi kuwa mtume alioa binti wa miaka 9, it is documented facts, na inaweza kutetewa kuwa ilikuwa ni utamaduni wao!! but what makes thread to be alive ni kupata information mpya!

sasa nauliza nimekosea wapi? thread ilifutwa sikuwa na tatizo nimeuliza vizuri, tu panapohusika, lakini mbona thread inafutwa tena? hata kwenye open thread ambako MODS akijibu atakuwa amewasaidia wengi?

Kama mod ulikosea kwanini usijirudi tukaendeleza libeneke na kufurahia JF kama ni sehemu huru ya kutoa mwazo? unapotufungia wengine na kuleta biased decisions, unataka tuwaze nini?

where are we going?

Najua Mods una nguvu ya kunipa ban, sina tatizo ila nataka baada ya kufuta thread zangu mbili na hii uendelee kuifuta tena na tena, nina post hii thread

1. kila jukwaa
2. kila baada ya masaa matatu
3. Kama unajibu la kuijibu jamii ya wana JF jibia kwenye jukwaa la complaints

Ninapost kila jukwaa kwani sijui ni jukwaa lipi utafuta!!

Usipotoa maelezo ya kuridhisha nitaendela kutuma hii post kila wakati, WHICH EVENTUALLY WILL LEAD TO get BAN, naitaka ban nzuri inayotokana na kudai haki ya kuzungumza kwa uwazi ndani ya jamiiforums.


I repeat getting ban kwa sababu ya makosa na msimamo wa mod fulani, kwangu itanipa faraja kubwa zaidi, we have been crying over CCM regime, na naona inataka kutokea ndani ya JF.Ban itanisaidi kuijua zaidi JF, na I will be proud to sign out kwa sababu tu nimenyimwa haki yangu ya msingi.

Note sitaki siasa, aidha nioate ban, au mod akubali alikosea, au kuwe na maelezo ya ziada na conviced kuwa kwa nini mpaka thread ya pili kuhitaji maelezo nayo imefutwa!

politics is not an option here!

Confused

WABEROYA!
 
The man has elucidated his complains very clear, this is ludicrous because it doesn't make sense at all the thread to be deleted without giving concrete reasons why he did so.
Mod come on and explains to the JF members why you took that inanity decision of deleting that thread.
 
pole sana ndugu yangu, but kwa hili bora niwe wazi, mi naona 'mod'
anatumikia miungu watu, hata kama thread ilikuwa inakufuru,
hivi mwanadamu anaweza kumsimamia kazi Mungu na kujifanya
hakimu, hatuwezi kuukumbatia uovu kwa sababu za kuogopa
tutaambiwa tunakufuru, 'mod acha kuwafurahisha watu wa upande mmoja'
tena kwa woga usiyo kuwa na mpango
 
Pole waberoya nadhani mod atatumia busara kukujibu maswala yako keep wait ......naamini unayo haki ya kujibiwa 123456......
 
Kitendo cha kufuta thread na MODS bila maelezo kwa kweli sio cha kistaarabu nadhani Maxence atakifanyia kazi. Mimi pia nimenotice kuwa kuna threads zikianzishwa na kama zinawahusu watu fulani fulani utaona kuwa zinaondolewa upesi upesi bila ya kuwapa wachangiaji nafasi ya kutoa maoni yao!! Mifano ni zile threads iliyomhusu Membe na ile iliyohusu kuuzwa kwa shares za serikali katika kampuni ya ZAIN; hatuwezi kusema WE DARE TALK OPENLY WAKATI watu wengine wanalindwa!! Ili kulinda heshima ya janvi ni muhimu kuwa balanced!!
 
Pole sana Mkuu wangu...Hakika itabidi hapo yatolewe maelezo Mujarabu kuhusiana na hizi thread zako, vinginevyo hatutaelewa!
 
KINACHOFANYIKA IKIWA THREAD ITAWAGUSA WAHUSIKA WANWAPIGI AFASTA MOD NINI CHA KUFANYA ZIKO NYINGI TU
KUNA MOJA ILIMUHUSU RIZIWANI KIKWETE SIJUI ILILETWA NANI ATI ANAULIZIA SRC MOD ZINGINE SRC UNAZIJUA ZINAPATIKANA WAPI NIKAMWAGIA
GAZETI ZIMA TOKA MWANAHALISI...KAMA MNAKUMBUKA ILIKUWA INAHUSU RIZIWANI ALIOINGILIA KIKAO CHA MWENYEKTI WA UVCCM KULE MOSHI
AKAOMBWA ATOKE AKAKATAA MOD AKADAI HUU NI USHABIKI NIMESAVE MSG ZAO MPAKA LEO...KAMA MNAKUMBUKA NILIWASHIANA NA MODA AKA BAN NI KAWASHA MOTO AKA BAN...NIKAJA NA THREAD RASMI JUU YAKE NA WENZAKE .....NAHSI ALIONA SHIDA KU BAN....ILA UKIWA KAMA KIONGOZI USIFIKIE WATU KUHISI UNAFIKI UNAENDELEA...YAANI BAADHI YA STORY NA NYININGE MNAZIKIMBILIA WENYEWE KUCHANGIA NYINGINE MNAZIFUTA HARAKA KAMA MNAOGP watu
TUAMBIANE JAMANI MNAWWEZA PATA MSAADA MSIOGOPE WAPO WATU WA AINA NYINGI HUMU NDANI OMBA MSAADA KAMA UMETISHIWA
 
Pole sana Mkuu wangu...Hakika itabidi hapo yatolewe maelezo Mujarabu kuhusiana na hizi thread zako, vinginevyo hatutaelewa!

PakaJimmy
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png

JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateWed Apr 2009
Posts3,462
Thanks798
Thanked 1,448 Times in 772 Posts
Rep Power27

icon1.gif
Re: Kupunguza kashfa ;mapadre wa kanisa la katoliki waruhusiwe kuoa;



quote_icon.png
Originally Posted by Pdidy
Mapdre wakikatoliki wameombwa kupewa kibali cha kuoa baad ya matatizo yaliotokea
huko nyumba kuhusu watoto.wakiongea kwa nyakati ttofauti wameomba uongozi wa kania katoliki kushirikiana na papa pope waokoe maisha ya watu hawa kwa kuwaruhusu kuoa
Tatizo lililotokea si tamaa wale ni binadamu na unajua kuna wengine wameenda kwa sababu ya shidasowabajua wakingia wanakula kuku na manyama ya bure na ukitoka zaidi maisha yanakuwa bomba sasa inafika wakati ana hamu kama mwanaume nini cha kufanya anaona wale vitoweo wa karibu ndio salale yao na hivyo kubeba dhambi wasizoziweza
Askofu Pengo tunaomba wazo hili mliwakilishe kwa papa kabla ya mapdre awajavua nguo madhabahuni kukidhi hamu zao.......
Naomba tusiwalaumu sana waseja wale hakuna sehemu kwenye biblia imeandikwa mtumishi wa mungu lazima uwe mwenyewe ndio utumikie vyema huu ni uharamia wa somalia auuna budi kupigwa vita..ndio maana kama mnajua vyema msiimbazi pata habari zake uone masister wanavyolambwa na wakuubwa mapadre zao huku wakiwapiga mikwara kutotoa mzigo nje
Polen wakatoliki kwa kashfa hizi tuko nanyi pamoja

.



Habari hii ni ya kipumbavu...i dont care anything about what mods may act on me!

PDIDDY hauko sawa upstairs, na kazi yako ni COPY AND PASTE, ndio maana inapokuja kuandika kitu kwa akili zako unaandika MAJI-TAKA YA KWENYE SEPTIC TANK.

HAYA mambo kuandika hapa unataka msaada gani...this is shiit!

Usibuni mambo yasiyo na nucleus...use a head, not your genitals!

TOA KWANZA BORITI NDANI YA JICHO LAKO KWANZA .....THEN URUKIE ZA WENGINE


 
Nilisema kipindi kirefu kuwa dawati la MODS limeingiliwa, watu hamkutilia maanani. lol
 
Thank you very much Paka Jimmy.

Some time we are required to act with a sense of urgency, as you have acted on the case upstairs.
Kuna tofauti kubwa kati ya MISTAKE and ERROR. That from PDIDY was a mistake and not an error. Congratulation Jimmy for that. Hope MOD will shake hands rather than complaining.
Kubali kurekebishwa ili u-enjoy tija za mabadiliko.
 
Lakini.jambo la msingi hapa ni Mod kuomba msamaha nooe kukubali kurekebisha kasoro au atoe TAMKO RASIMI JUU YA TUHUMA HIZI.sote tunapenda AMANI NA UHURU HAPA JF.
 
Duh, Mod, uko wapi mbona kimya? Hebu jitokeze, ujitetee, mbele ya Wadau. Kimya chako kinaongeza moto ndani ya jamvi.
 
So mnataka kusema mambo ya uongozi mbovu yameingia JF! Basi kazi tunayo. Kabla ya kuisafisa SISIEMU tuanze na JF kwanza!
 
Back
Top Bottom