Airtel

danione

Member
Oct 26, 2011
58
5
Airtel wamerudisha uduma yao Mb400 kwa 2500
tuma Internet kwenda 15444

]Umefanikiwa kujiunga na kifurushi cha INTANETI kinachokupa MB400 kwa muda wa siku 30.Kuangalia Salio lako tuma neno SALIO kwenda 15444.
 
great news if it's true...sijajaribu bado ingawa mobile internet yao imekua stable today cant be compaire with the past twoo days...
 
inakubali kibirizi mi mwenyewe leo nimeweka 10000 ili ninunue hiyo ya 400mb nikapata msg kwamba nitume neno internet kwenda 15444, na nilipotuma hiyo msg nikapata 400mb kwa 2500!!!
 
Ni kweli inakubali kwa optional zote mbili yaaani unatuma sms Iternet kwenda 15444 au unapiga *154*44# then unafuata maelekezo ya kununua kwa bando utapata option ya kununua 400mb kwa sh. 2500. Aidha unaweza kununua vifurushi vya 400mb mara nyingi uwezavyo ambavyo vitaaccumulate katika salio lako. mimi nimenunua za sh. 10,000 na salio linaonyesha kuwa 1 INTERNET 400MB, 2 INTERNET 400MB, 3 INTERNET 400MB, 4 INTERNET 400MB ambazo hazina limit ya muda wa kutumika.
 
ni bora sana maana ilisha anza kuwa ngumu na voda nilishindana nao kwa gharama za run net kuwa ya ghari Airtel ni mkombozi wawanyonge
 
Airtel wamerudisha uduma yao Mb400 kwa 2500
tuma Internet kwenda 15444

]Umefanikiwa kujiunga na kifurushi cha INTANETI kinachokupa MB400 kwa muda wa siku 30.Kuangalia Salio lako tuma neno SALIO kwenda 15444.
Njia ingine*154*44#
 
Back
Top Bottom