airtel yazindua huduma ya 3.75G

Naona watakuwa walimaanisha jijini DSM maana iyo 3g yenyewe coverage ni mijini tuu wilayani tatizo!
Ivi mkongo umeshaanza kutumika maana tuliambiwa mengi kabla haujaja!

Mkuu, pamoja sana! umenikumbusha hiyo project ya fiber optic, tulielezwa faida nyingi sana lakini mpaka sasa imekuwa kimya na gharama zinazidi kuongezeka.
 
Wabongo bwana, ka mtu kanatumia internet kwa kuandika two line message kwenye facebook eti kanataka 4g, this makes me real happy!!!!

usitake kujifanya wajua sana matumizi ya bundle na internet we inakuhusu nini matumiz yake kila m2 anauhuru wake haumnunulii bundle na haujamnunulia laptop so km we wajiona unajua sana matumizi ya 4g hamia nchi zenye internet ya kasi kama kenya mana najua abroad huna uwezo wa kwenda kwa majungu hayo.
 
Back
Top Bottom