airtel yazindua huduma ya 3.75G

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,277
13,212
airtel yazindua huduma ya intanet ya 3.75G,ambayo itakuwa na kasi ya ajabu,tunaomba iwe ni kwa inchi nzima,sio iwe kwa dar tu!na iwe ni 3.75G kweli kwa speed sio kwa jina,kwani kuna mitandao mingine wanasema wana 3g,lakini spidi ni ya edge!
 
Wabongo bwana, ka mtu kanatumia internet kwa kuandika two line message kwenye facebook eti kanataka 4g, this makes me real happy!!!!

Nipe hiyo 4g uone balaa lake!Wengine hatuzimi pc zetu mpaka umeme ukatike!
Kaa ukijua wengi walalamikiao speed ujue wana heavy downloads!
---Believdat---
 
Lugha za kibiashara tu hizi hakuna speed itakayoongezeka zaidi ya kupungua kutokana na kuzidiwa na wataja

Ha ha ha! Mwakani wataongeza .3 na kuwambia sasa mnapata speed ya 4G chezea wezi wabongo wewe!
 
Lugha za kibiashara tu hizi hakuna speed itakayoongezeka zaidi ya kupungua kutokana na kuzidiwa na wataja

Ha ha ha! Mwakani wataongeza .3 na kuwambia sasa mnapata speed ya 4G chezea wezi wabongo wewe!
Maneno yako ni kweii tupu kwani eneo nilipo la kata ya Mjimwema Kigamboni Dar bado sijaona tofauti ya speed...muda mwingi ni EDGE tu. Voda na tiGO afadhali kidogo kwenye 3G.
 
niko kwenye mji mdogo mkoa wa tanga,hapa modem ya airtel ni bure kabisa, haifungui hata home web site spidi ilivyo ndogo, sasa kuna haja gani ya kuzindua 3.75g dar wakati wateja wengine wote mikoani hata hiyo edge ni ya mbinde labda tuseme ni analogy kama ile ya mobitel, tcra ilitakiwa itoe sharti na kusimamia kwamba kampuni ya simu haitaruhusiwa kuzindua huduma nyingine mpaka kampuni husika imeeneza huduma iliyotangulia kama 3g imeenea nchi nzima
 
Nitaona wana akili kama wangehakikisha kwanza 3G inapatikana nchi nzima kabla ya kuhamia 3.75G.
OTIS
 
hakuna kitu hapo..watu hata 3G hatuna wanasema 3.75G...nyambaaaf zao
 
business language, kama wameshindwa kumanage 3g wataweza hiyo wanayoileta? anywys let us watch and seee...
 
Nipe hiyo 4g uone balaa lake!Wengine hatuzimi pc zetu mpaka umeme ukatike!
Kaa ukijua wengi walalamikiao speed ujue wana heavy downloads!
---Believdat---

Hahaha,,Baosita,, looks like we are on the same boat!!!.....
 
Airtel hawawezi kuwa hata na 3g, achilia mbali 3.7g wanayodai.
Hapa TZ wala hakuna mtandao wenye zaidi ya 2.5g ambayo ni Edge.
Lakini maadam tumejaliwa kipaji cha maneno na uwongo basi hata Uchumi wetu Umekuwa, Vincent siyo wa familia ya Nyerere, Shilingi ime gain kwa dola, na Airtel wana 3.7g.
 
Unajua speed inategemea na device unayotumia mfano hivi vinokia vipya vimetoka vina speed ya 386 kbps ukigawanya kwa 8 unapata kama 48 kbyt per second yani hio ndo high speed hata uende kwa mganga.

Unaposema hamna 3g unakosea maana speed ya mwisho ya edge american version ni 299kbps na tz unapata hadi 350kbps sasa hio ni edge gani?

Ukumbuke sometime ni website unayodownloadia ndo ipo slow server zake, au proxy zipo slow unapopata slow conection si mtandao tu wakulaumiwa.

Kujua speed yako ipime na website kama speedtest.net ndo utajua
 
kimsingi maeneo yenye 3G ni machache..at least wangecover maeneo yote..sasa sisi wa mpanda mpaka tuje dar?
 
kimsingi maeneo yenye 3G ni machache..at least wangecover maeneo yote..sasa sisi wa mpanda mpaka tuje dar?

Kaka tunaishi dunia ya kikapitalist kichatohitajika watu ndo wanazalisha, mahitaji ya internet ya eneo husika husababisha wao kueka 3g au kuacha edge.

Unaweza kuta wilaya flan ina watumiaj net 500 wanaoingiza pato la laki 5 kwa mwez then gharama ya kuinstall ni milion kadhaa hawawez kuinstall 3g, ila kama watumiaji wa net ni wengi then utaona wenyewe wanaleta 3g yao
 
Naona watakuwa walimaanisha jijini DSM maana iyo 3g yenyewe coverage ni mijini tuu wilayani tatizo!
Ivi mkongo umeshaanza kutumika maana tuliambiwa mengi kabla haujaja!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom