Airtel yashusha gharama za internet

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Baada ya wadau kuzipigia kelele bei mpya za internet toka Airtel (Ref: https://www.jamiiforums.com/busines...-tanzania-yapandisha-gharama-za-internet.html ) Airtel wameamua kurejesha bei za awali ili kuweza kukidhi mahitaji ya wadau.

Binafsi sikufurahishwa na upandishaji wa ghafla gharama za internet kwa airtel na nilienda ofisini kwao kulalamika na sikukubaliana na sababu walizozitoa kuwa chanzo cha kupandishwa bei.

Bei zilizokuwa zimetangazwa siku 4 zilizopita (March 1, 2012) zimesimamishwa na kurejea bei za zamani:

PREPAID BUNDLES
BUNDLESUBSCRIPTIONFEEVALIDITY
Daily Bundle (20MB)SMS ‘ datasiku ' to 15444
500/=
1 day
1 Day bundle (300MB)SMS ‘ dataplus ' to 15444
3,000/=
1 day
Weekly bundle (3GB)SMS ' datawiki ' to 15444
15,000/=
7 days
Monthly bundle (8GB)SMS ‘ full data ' to 15444
70,000/=
30 days
Quarterly Bundle (24GB)SMS ‘ data90 ' to 15444
200,000/=
90 days
Yearly Bundle (96GB)SMS ‘ data365 ' to 15444
750,000/=
365 days
Handset Browsing Bundle(400 MB)SMS ‘internet ' to 15444
2,500/=
30 days

To check your Bundle Balance simply SMS the word ‘SALIO' or ‘BALANCE' TO 15444.

POSTPAID BUNDLES

For POSTPAID, you will have to contact Postpaid hotline (101) for details or you will have to send official, letter for your desired bundle activation request.

BUNDLEFEEVALIDITY
Monthly bundle( 8GB)
70,000/=
30 days
Quarterly Bundle( 24GB)
200,000/=
90 days
Yearly Bundle( 96GB)
750,000/=
365 days
Handset Browsing Bundle( 400 MB)
2,500/=
30 days

*All prices are VAT Inclusive

Kwa hili, nawapongeza kwa kuwasikiliza wateja!
 
hakika nguvu ya wanajamii imeweza kuleta changamoto kubwa kwenye hili big up
 
Asante kwa taarifa. Ila siyo kwa sababu ya kelele za watu hapa jamii, ila ukweli ni kwamba kwa siku mbili walizopandisha gharama mapato airtel yameporoka to 12%. Market forces zimewalazimisha ku-succumb.
 
Naona wamekuwa forced baada ya kuona mapato yanashuka as people went for Plan B.
Mteja ni mfalme lazima asikilizwe promptly
 
Bahati mbaya sana mimi nilitupa hata ile moderm yao!!!wameshanitia hasara tayari
 
ipi kuhusu speed. naona kwa ukubwa wa kifurushi ni nzuri 3GB kwa wiki moja kwa 15,000 ni powa sana. Mimi sasa hivi natumia zantel 1GB bundle kwa wiki same price. waungwana waliowahi kutumia huduma zote naomba experience zenu
 
it seems watumiaji tumekuwa smart itabidi wajipange kutuibia kama tigo wanavyotuibia yet watu hawa hami wala kutupa line zao za tigo
Baada ya wadau kuzipigia kelele bei mpya za internet toka Airtel (Ref: https://www.jamiiforums.com/busines...-tanzania-yapandisha-gharama-za-internet.html ) Airtel wameamua kurejesha bei za awali ili kuweza kukidhi mahitaji ya wadau.

Binafsi sikufurahishwa na upandishaji wa ghafla gharama za internet kwa airtel na nilienda ofisini kwao kulalamika na sikukubaliana na sababu walizozitoa kuwa chanzo cha kupandishwa bei.

Bei zilizokuwa zimetangazwa siku 4 zilizopita (March 1, 2012) zimesimamishwa na kurejea bei za zamani:

PREPAID BUNDLES
BUNDLESUBSCRIPTIONFEEVALIDITY
Daily Bundle (20MB)SMS ‘ datasiku ' to 15444
500/=
1 day
1 Day bundle (300MB)SMS ‘ dataplus ' to 15444
3,000/=
1 day
Weekly bundle (3GB)SMS ' datawiki ' to 15444
15,000/=
7 days
Monthly bundle (8GB)SMS ‘ full data ' to 15444
70,000/=
30 days
Quarterly Bundle (24GB)SMS ‘ data90 ' to 15444
200,000/=
90 days
Yearly Bundle (96GB)SMS ‘ data365 ' to 15444
750,000/=
365 days
Handset Browsing Bundle(400 MB)SMS ‘internet ' to 15444
2,500/=
30 days

To check your Bundle Balance simply SMS the word ‘SALIO' or ‘BALANCE' TO 15444.

POSTPAID BUNDLES

For POSTPAID, you will have to contact Postpaid hotline (101) for details or you will have to send official, letter for your desired bundle activation request.

BUNDLEFEEVALIDITY
Monthly bundle( 8GB)
70,000/=
30 days
Quarterly Bundle( 24GB)
200,000/=
90 days
Yearly Bundle( 96GB)
750,000/=
365 days
Handset Browsing Bundle( 400 MB)
2,500/=
30 days

*All prices are VAT Inclusive

Kwa hili, nawapongeza kwa kuwasikiliza wateja!
 
That was the good movie Airtel keep it up! Thanks you are the best among all Internet providers
 
Bahati mbaya sana mimi nilitupa hata ile moderm yao!!!wameshanitia hasara tayari

We kiboko, na ndiyo maana ukajiita rocket. Back to point, iwe kwa sababu yoyote ile Airtell hawakupaswa kupandisha bei kwa sababu bei hizi haziwatii hasara na ndiyo maana wameamua kurejea tena kwenye bei za awali.
Nadhani ni tamaa iliyowasukuma na watanzania hasa wasomi wamewafikishia ujumbe kwa kuhama au kutafuta mbadala.
 
Back
Top Bottom