Airtel wamekuja na hii kitu

Sugar wa Ukweli

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
373
37
kuna hii kitu inaitwa Sema na Airtel inakuwezesha kutuma sms free kwa mteja wa Airtel aliyejiunga kwenye hiyo service (yes ni 0Tsh/SMS)KujiungaKujiunga unatuma sms neno Jiunge unaacha nafac unaandika jina unalotaka kutumia halafu unatuma kwenda namba 2011.ikiwa successful utapata SMS ya kuthibitishwa kujiunga. Kwa hiyo kama mimi ndo najiunga naandika sms JIUNGE SAMMY then natuma kwenda 2011.... Namna ya kutumiaKutumia sharti huyo unayechat nae nae awe amejiunga, unaandika sms kwa kuanza na jina lake analotumia unaacha nafasi unaandika maneno yako then unatuma kwenda 2011. Kwa mfano kama INVISIBLE kajiunga so nita sms INVISIBLE habari yako? then natuma kwenda 2011.yeye INVISIBLE ataona tu Maneno habari yako? na kuendelea. Kwa kweli haka ka huduma ni kazuri sana maana vocha yenyewe mtihani
 
Mkuu naona ni kama umeedit tu post yangu ya juzi hii hapa https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/205289-
tuma-sms-for-free-airtel-to-airtel.html

Sio mbaya, kikubwa ambacho bado hakijulikani ni namna ya kujitoa kwenye hii huduma once ukishajiunga, tumia source zako tusaidiane kujua hilo
 
Mtoto wakiume unataka vya bure?utapaka....a!shauli yako
Nilikuwa sijajua kwanini ulikimbilia jukwaa la malalamiko na kufungua sredi kulalamika eti "bun" zinauma hivyo zifutwe.
Lakini sasa kwa majibu haya uliyo jibu nimeelewa kwanini hupendi "bun"
 
Security vp? kwanza cku hiz kuna bando za sms kibao hata kwa jero tu! hahahaa
 
Back
Top Bottom