Airtel Waja na ZTE MF180 Modems and here is How you Unlock It!!!

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
Yah nimeckia kuwa sasa wanauza hizi modem ZTE MF180 and the good news is it is UNLOCKABLE na it takes seconds just to unlock it so fuatana nami through the process:

HERE IS THE MODEM

Snap_2012.03.18_21h24m27s_001_.jpg

Hizi ndo Steps of Unlocking it:

Kwanza download hii cracked dc unlocker kutoka hapa:

_dccrap.zip

Then do the following:

Instructions:

* Extract the content of the .zip file
* Once you extracted all the required files, run "dccrap.exe"
* Disconnect to the internet and plug your USB Modem with a different provider SIM. (for Huawei users, you dont need to swap any SIM). And insert your modem to the USB port.
* Choose what "manufacturer" that your modem is. (Huawei Datacards or ZTE Datacards... choose that matches on your Modem.)
* Click the magnifying glass, and it will search for plugged USB modems.
* Once the modem is detected, go to login page, type whatever you want. It's just a lame login system.
* Click Unlocking menu, then choose "unlock".
* Wait till the unlocker program says that, unlock is successfully done.
* Voila, enjoy your unlocked Modem.

Works on ZTE USB modems. Dunno on some Huawei modems (specially the redbox)

Tried and tested by me. Even yung friend ko na bagung bileng USB Modem na ZTE is na unlock.

The unlocking process, was done only in less than 2 minutes, compare to the flashing that will take around 20minutes to unlock and higher risk of bricking it.

**Notes:
- try running the program with administrator's privilege
- make sure that youre disconnected to the internet, and your dashboard is not running.

Cheers!!! Please usisahau kuleta Feedback kama imekubali...THANKS
 
Yangu ni ya Airtel HUAWEI model E220 nifanyeje kuichakachua ili itumike na mitandao mingine?
 
Daaaaamn!Kitu hata hakijaanza kusambaa kimeshachakachuliwa!Hili jukwaa safi mkubwa E2themiza!
---Believdat---
 
UNACHAKACHUA MORDEM YA AIRTEL ILI UTUMIE SIMCARD(MTANDAO) GANI YENYE KUZIDI SPEED YA AIRTEL?
UNAAMBIWA SASA HIVI AIRTEL SPEED NI 3.75G...Wewe unachakachua utumie Zantel/TIGO/VODA ambayo hata 3G yenyewe ni KWIKWI
NI UTAAHIRA AU NDIO UJANJA! WA KUJUA KUCHAKACHUA!!!!!!
SWALI: NI MTANDAO GANI BEI ZA VIFURUSHI VYAKE NI SAWA NA BURE?
JIBU=AIRTEL!!!!! haaah hapa lete trick za KUHACK SYSTEM TUTUMIE INTERNET BUREEEEE!!!
SWALI: SPEED NI MORDEM AU LAINI?
BONGO JINGA SANAAAA!
 
Lol kajipange tena! Kama wewe unatumia Airtel na onyesha utofauti wa hiyo madai yao ya 3.75G yao kama speed yoyote imeongezeka.. Mie badaye nkrud om ntaweka snap ya speed nayo pata na Tigo ambayo ni twice as fast ya hyo Airtel na clpi ata centi.. So ucpende kulopoka v2 hauna akika nazo!
 
UNACHAKACHUA MORDEM YA AIRTEL ILI UTUMIE SIMCARD(MTANDAO) GANI YENYE KUZIDI SPEED YA AIRTEL?
UNAAMBIWA SASA HIVI AIRTEL SPEED NI 3.75G...Wewe unachakachua utumie Zantel/TIGO/VODA ambayo hata 3G yenyewe ni KWIKWI
NI UTAAHIRA AU NDIO UJANJA! WA KUJUA KUCHAKACHUA!!!!!!
SWALI: NI MTANDAO GANI BEI ZA VIFURUSHI VYAKE NI SAWA NA BURE?
JIBU=AIRTEL!!!!! haaah hapa lete trick za KUHACK SYSTEM TUTUMIE INTERNET BUREEEEE!!!
SWALI: SPEED NI MORDEM AU LAINI?
BONGO JINGA SANAAAA!

inaonekana una matatizo ya akili ww 3.75G ni ***** usio na akili. Watu wana 4G huko States na wanalalamika speed. All that matters ni bandwith ambayo ISP wako anakupatia katika hyo 3.75G, Kitu ingine hata 3G yenyewe ya Airtel cwezi kutumia coz downloading speed kubwa ni 250kbps which means Speed ni 250*8=2000/2mbps. wakati katika hiyo hiyo 3G voda 2nakata mawimbi ya 520kbps ambayo ni 520*8=4160/4mbps. Hujui chochote ww.
 
UNACHAKACHUA MORDEM YA AIRTEL ILI UTUMIE SIMCARD(MTANDAO) GANI YENYE KUZIDI SPEED YA AIRTEL?
UNAAMBIWA SASA HIVI AIRTEL SPEED NI 3.75G...Wewe unachakachua utumie Zantel/TIGO/VODA ambayo hata 3G yenyewe ni KWIKWI
NI UTAAHIRA AU NDIO UJANJA! WA KUJUA KUCHAKACHUA!!!!!!
SWALI: NI MTANDAO GANI BEI ZA VIFURUSHI VYAKE NI SAWA NA BURE?
JIBU=AIRTEL!!!!! haaah hapa lete trick za KUHACK SYSTEM TUTUMIE INTERNET BUREEEEE!!!
SWALI: SPEED NI MORDEM AU LAINI?
BONGO JINGA SANAAAA!
Kwanza inaonekana umetokea Jukwaa la Mapenzi ww au Love connect. tembea mbele ww....!
 
UNACHAKACHUA MORDEM YA AIRTEL ILI UTUMIE SIMCARD(MTANDAO) GANI YENYE KUZIDI SPEED YA AIRTEL?
UNAAMBIWA SASA HIVI AIRTEL SPEED NI 3.75G...Wewe unachakachua utumie Zantel/TIGO/VODA ambayo hata 3G yenyewe ni KWIKWI
NI UTAAHIRA AU NDIO UJANJA! WA KUJUA KUCHAKACHUA!!!!!!
SWALI: NI MTANDAO GANI BEI ZA VIFURUSHI VYAKE NI SAWA NA BURE?
JIBU=AIRTEL!!!!! haaah hapa lete trick za KUHACK SYSTEM TUTUMIE INTERNET BUREEEEE!!!
SWALI: SPEED NI MORDEM AU LAINI?
BONGO JINGA SANAAAA!
wewe toka lini airtel inaongoza kwa speed hiyo 3.75G siasa tu hakuna kitu. voda na tigo ndo zina speed nzuri
 
hiyo modem inauzwa how much. yeyote atayefanikiwa kwa njia hiyo atoe feedback please
 
inauzwa 55k, je kwa kutumia join air inakubali? Kwa ambao washaitumia...
 
UNACHAKACHUA MORDEM YA AIRTEL ILI UTUMIE SIMCARD(MTANDAO) GANI YENYE KUZIDI SPEED YA AIRTEL?
UNAAMBIWA SASA HIVI AIRTEL SPEED NI 3.75G...Wewe unachakachua utumie Zantel/TIGO/VODA ambayo hata 3G yenyewe ni KWIKWI
NI UTAAHIRA AU NDIO UJANJA! WA KUJUA KUCHAKACHUA!!!!!!
SWALI: NI MTANDAO GANI BEI ZA VIFURUSHI VYAKE NI SAWA NA BURE?
JIBU=AIRTEL!!!!! haaah hapa lete trick za KUHACK SYSTEM TUTUMIE INTERNET BUREEEEE!!!
SWALI: SPEED NI MORDEM AU LAINI?
BONGO JINGA SANAAAA!

hehehe! just be calm
 
duh mkuu kumbe tigo hulipii kitu tufunze bac au kama vp nipe fastest proxy ambayo hadi saizi umeikubali, hata uki P.M no problem
 
Kuna mtu anafanya hii kitu kwa 25,000/-. Ni-PM if you're interested and if you're in Dar. Nitaku-direct kwake.
 
Back
Top Bottom