Airtel Tanzania yapandisha gharama za internet!

Status
Not open for further replies.
watu hawapo serious na biashara. huo mkongo sijui faida zake ni nini anyway sijui tariffs zinakwendaje maana mara nyingi govt yetu nayo huwa ndio chanzo cha matatizo
 
uuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....Airtel ilikuwa kimbilio langu sijui ni hamie wapi?
 
Maana imefikia mahali mtu anagombana na mwenza wake halafu anaanzisha topic isiyo na kichwa wala miguu
 
hii itawacost sana airtel kwa sababu watapoteza wateja wengi sana, mi mwenyewe ni mmojawapo
 
Aisee, jioni hii hii imejaribu kutumia SIMU kutuma neno INTERNET kwenda 15444. Nimepata ujumbe ufuatao

Dear Customer. You have successfully received 400MB. To view your balance and expiry date, dial *154*44# and follow instructions. Thank you

Naona kama wadau wengine wanavyo sema kwenye CM inafanya kazi sababu sina modem siwezi jua kama kwa Modem inaleta shida au la.
 
Airtel ya kjanga! Is better nihamia Zantel or Ttcl! Airtel nitaitumbukiza chooni today!
[h=2]
icon1.png
AIRTEL: haha nauli ya basi jekundu zmepungzwa tena bundle limerejeshwa[/h]
Yah ni kwl just weka 2500tshs katika line yako ya Airtel na tuma msg
Internet kwenda 15444 na utaunganishwa na mb 400 mara moja apo apo.. ENJOY UR WEEKEND GUYS! :poa​
 
Jamani Imerudishwa ile Bundle ya 400MB kwa 2500. Nimetuma 'Internet' kwenda 15444 sasa hivi line yangu ilikuwa na pesa pungufu imeniletea ujumbe huu "Ndugu mteja, huna salio la kutosha kuunganishwa na INTERNET. Tafadhali Ongeza salio na ujaribu tena"
 
Jamani Imerudishwa ile Bundle ya 400MB kwa 2500. Nimetuma 'Internet' kwenda 15444 sasa hivi line yangu ilikuwa na pesa pungufu imeniletea ujumbe huu "Ndugu mteja, huna salio la kutosha kuunganishwa na INTERNET. Yafadhali Ongeza salio na ujaribu tena"
Bundle ya shillingi 2500 na bado unataka kujiunga na pesa pungufu!!?? hapa nashindwa kukuelewa, huo ujumbe unahusiana vipi na kuwepo hiyo huduma!! hapa anatakiwa shuhuda wa kusema mimi leo nimericharge shilling 2500 na nikapata mb 400. huyu ndio shuhuda anayehitajika hapa na sio hizo msg zako.
 
kitu kimeru wadau,ndo ninayotumia mda uu. Full speed. Miamia ila warudishe ile fomular ya kuulizia salio kama zamani.
Ni hayo tu.
 
mi nshajaribu kupiga hiyo no mara kibao lakini haijawahi kupokelewa,ila si ndo hii kampuni inawalipa customer care wake kilo moja na nusu,labda wamegoma kupokea simu zetu


mimi nimepiga simu asubuhi hii imepokelewa kwa haraka lakini mwanamke anamapozi yani mimi naongeaaaaaaa yeye hajibu chochote eti mpaka niulize upo ndio anasema nakusikia naona bora nirudi kwenye bito
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom