KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,649
- 6,088
Pole mwaya kwa kukosa mteremko . Lakini usimaind saa 5 ya usiku paka saa 1 asb kuna bonge la mteremko .
Tutakuwa hatulali jamani kusubiria mteremko.
Pole mwaya kwa kukosa mteremko . Lakini usimaind saa 5 ya usiku paka saa 1 asb kuna bonge la mteremko .
Pole mwaya kwa kukosa mteremko . Lakini usimaind saa 5 ya usiku paka saa 1 asb kuna bonge la mteremko .
akhsante kwa kutupa moyo mkuu,,, r u one of the staff / management ya airtell??
Msemaji ama mropokaji?
Siwezi kukubaliana hoja yako, kama mtandao ulikuwa unasumbua kwanini wasiseme moja kwa moja kuwa kuna matatizo ya mtandao badala yake wanatoa hizo options za 10MB, 25MB..............???,Poleni wapendwa...huduma iyo haijasitishwa bado ipo na itazid kuwepo...leo asubuh kumekuwa na tatizo la netwk kwa baadhi ya mikoa apa nchini poleni sana kwa usumbufu uliojitokeza!
Duh!!! maskini mi kwishney
poleni wapendwa...huduma iyo haijasitishwa bado ipo na itazid kuwepo...leo asubuh kumekuwa na tatizo la netwk kwa baadhi ya mikoa apa nchini poleni sana kwa usumbufu uliojitokeza!
Kama naanza kunusa harufu ya ukweli wa habari hii, maana nimeangalia salio langu sasa hivi hata ile style yao ya kuone salio wamebadilisha. ona inavyoandika.
Name:
Number: 15444
Content:
Ndugu Mteja Salio lako ni: 1. BUNDLE : 267MB
Time: 01/03/2012 12:07:12
Kesho nina maswala yangu pale American Embassy, nitatumia fursa hiyo kupitia kwenye ofisi zao kupata ufafanuzi in personal, maana hawa jamaa ukipiga ile namba yao ya customer care utasikilizishwa muziki mpaka masikio yakuume.hehehe! Matola sasa tushike lipi?hawa wanaokuja humu kama wasemaji wa airtel tuwaamini au tuendelee kuskilizia!
BUNDLE | SUBSCRIPTION | FEE | VALIDITY |
Daily Bundle (20MB) | SMS ' datasiku ' to 15444 | 500/= | 1 day |
1 Day bundle (300MB) | SMS ' dataplus ' to 15444 | 3,000/= | 1 day |
Weekly bundle (3GB) | SMS ' datawiki ' to 15444 | 15,000/= | 7 days |
Monthly bundle (8GB) | SMS ' full data ' to 15444 | 70,000/= | 30 days |
Quarterly Bundle (24GB) | SMS ' data90 ' to 15444 | 200,000/= | 90 days |
Yearly Bundle (96GB) | SMS ' data365 ' to 15444 | 750,000/= | 365 days |
Handset Browsing Bundle(400 MB) | SMS ‘internet ' to 15444 | 2,500/= | 30 days |
BUNDLE | FEE | VALIDITY |
Monthly bundle( 8GB) | 70,000/= | 30 days |
Quarterly Bundle( 24GB) | 200,000/= | 90 days |
Yearly Bundle( 96GB) | 750,000/= | 365 days |
Handset Browsing Bundle( 400 MB) | 2,500/= | 30 days |
Na wewe mbona akili yako maandazi!! ni nani hapa aliekwambia kwamba Internet ya Airtel haipatikani? hapa tunajadili huduma hii ya 400 mb kwa shilling 2500 kama itaendelea kuwepo au ndio inafikia kikomo?Nahisi wewe ni kampuni ya simu either Tigo au Voda sasa unataka kuwaharibia Airtel ... na si vinginevo ! mbona mimi leo nimeupload picha zangu kwa kutumia huo mtandao! acheni kuwaharibia wenzenu nyie !
safi sana mi kwa hasira nawapa hadi simu yangu khaaaaaaa,na hao staarrr tim.ezz wajiandae ipo siku watakupa ving'amuzi vyao pale sayansi sijui,Nina Blackberry latest vision, nilipokwenda Voda kuwauliza ni kwa nini haiconnect Internet wakanijibu mpaka niwe na BB subscription ambayo gharama yake ni shilling 30,000 kwa mwezi, nikawasihi kwamba hii sio Blackberry yangu ya kwanza kutumia bali ni ya nne nazote hizo nilikuwa nalipia pay as you go, wakaniambia eti sasa hivi mpaka uingizwe kwenye Blackberry server yao na hakuna jinsi ni lazima nilipie 30,000. nimekataa siwezi kujiingiza gharama ambazo ni unneccessary, ni kwa nini laptop yangu nitumie gharama nafuu halafu smartphone ndio inigharimu?
Sasa basi kama hawa Airtel nao watakuwa wameingia kwenye upuuzi wa kusitisha huduma hii rafiki hakuna chaguo lingine zaidi ya ku boycot mtandao wao for good. Watanzania tusikubali kugeuzwa makondoo na mkumbuke zamani tulikuwa tunalipia airtime kwa dolar, ikaja tukawa tunachajiwa kwa dakika na hatimaye sasa tunachajiwa kwa sekunde, pls kama hili swala ni kweli tutaanzisha special thread hapa na kukusanya chip zao tuwarudishie na uzuri media tunazo humuhumu.
Kesho nina maswala yangu pale American Embassy, nitatumia fursa hiyo kupitia kwenye ofisi zao kupata ufafanuzi in personal, maana hawa jamaa ukipiga ile namba yao ya customer care utasikilizishwa muziki mpaka masikio yakuume.
Kumchinja Kobe kunahitaji timing!!,.......tehe, kesho ntashuka pale ubalozi ili nikuone. Natamani kumuona walu member mmoja humu. :lol: