Airtel Tanzania yapandisha gharama za internet!

Status
Not open for further replies.

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Habari ya asubuhi wana JF.

Asubuhi ya leo imekuwa ni mbaya sana kwangu, mimi kama walivyo wateja wengine wa airtel, nimekuwa nikitumia huduma ya airtel internet, kwa kutumia kifurushi cha 400MB/2500Tsh tangu mwaka 2010. Leo asubuhi nikagundua kuwa kifurushi changu kimekwisha. Basi kama kawaida, nikanunua tena vocha ya Tsh 2500, nikaingiza, nilipo subscribe ile huduma yetu rafiki kwa kutuma neno internet kwenda 15444, nikapata ujumbe ambao sikutarajia kuupata asubuhi hii, ujumbe ulisomeka hivi
"Name:
Number: 15444
Content:
Neno ulilotuma sio sahihi, Tafadhali chagua kati ya :- 10MB,25MB,50MB,150MB,250MB,500MB,1GB,2GB,5GB,15GB,30GB,SIKU,WIKI,MWEZI ama SALIO kwenda 15444.Asante.
Time: 01/03/2012 08:14:49"
Nikajaribu mara kadhaa nikapata ujumbe huohuo. Ndipo nilipogundua huduma yetu hii kipenzi is no more. Kwa hela hiyo hiyo nikajaribu kutuma mwezi, nikaambiwa hela haitoshi, nikajaribu wiki, nayo nikaambiwa hela haitoshi. Ndipo nikatuma 10MB ambayo naitumia hivi sasa na muda si mrefu itaisha.

Naomba kuchukua wasaa huu kuwaomba ndugu hawa wa Airtel kuirudisha huduma hii, kwani imewakusanyia wateja wengi wa internet ambao wengi watalazimika kuachana na huduma zao kama ile huduma wameiondoa. Mimi binafsi nina modem ya mtandao mwingine wa hapa TZ lakini niliichakachua ili niweze kutumia airtel kitu ambacho ni faida kwa airtel.

PLZ AIRTEL THINK TWICE!!

BAD DAY!!
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
Kuna bundle za aina mbili.
1. Time based bundles
2. Data based bundles

2. DATA BASED BUNDLES
50 MB 2000/=
150 MB 6000/=
250 MB 10,000/=
500 MB 20,000/=
1 GB 25,000/=
2 GB 30,000/=
5 GB 75,000/=
15 GB 200,000/= MIEZI MITATU
30 GB 300,000/= MIEZI SITA

TIME BASED BUNDLES
DAY 500/= 20MB
WEEK 7000/=
Nashindwa hata kuendelea jamani.

Source ni customer service!!!
[/FONT]
 
Pole mwaya kwa kukosa mteremko . Lakini usimaind saa 5 ya usiku paka saa 1 asb kuna bonge la mteremko .
 
Jamani airtel kama habari hii ni ya kweli, basi ninawahakikishieni mauzo yenu ya vocha yatashuka tremendously!!
Rudosheni hii hiduma, hata kama mtaiandisha kidogo na kufanya iwe 3500 au hata 500. Tumeizoea sana hii huduma.
 
Dah!Naanza kuona dalili za kuja kukoswa uhondo wa JF siku zijazo.
 
sasa mimi bado nina kiporo cha MB 300 ina maana kikiisha ndio maumivu yanaanza. Je, hizo 10MB uenunua kwa sh ngapi?
 
Mbona bundle 400mb zangu nilizonunua juzi ndo bado natesea mpaka sasa hv? Au zikiniishia ndo mwisho wa promo? Anyway, isiwe tabu, kama airtel hawakutambua kuwa 400mb ndo zilizowapa wateja wengi kwny soko la internet ndo watatambua sasa kwani what next z a sharp decline ya wateja wa net. Kwanza hiyo customer research team yao inabidi wafanye utafiti wa kundi kubwa la watumiaji wa hii huduma, hasa kwny hz 400mb.

Kwa haraka2 simple survey yangu inaonyesha kuwa watumiaji wakubwa wa híi huduma ni wanafunzi na wafanyakazi wa kipato cha kawaida. Na hili ndilo kundi kubwa kwny soko la internet. Kama wameamua kufanya hivyo basi watakuwa wameamua kutufukuza sie wateja wao, pia watakuwa wameifanya hii huduma kuwa ya anasa zaidi, wkt sisi tulishaanza kuiona kama sehemu ya huduma ya msingi, basic need.

Pia watambue kuwa siku hizi kuna huduma ya kuflash hz modemu zao na kuzifanya ziwe malaya kwa chip za mitandao mingine. Hivi majuzi kuna mshikaji wangu aliniazima kimodem changu akawa ananishauri nikiflash.

Jibu ni 'sioni sababu ya kuiflash coz hata nikifanya hivyo bado nitaendelea kutumia airtel because z the cheapest of all which i can afford' sasa kama wameamua kubania 400mb/2500tsh automatically watakuwa wamenifosi kuflash modem yao ili niwe huru kwny kuchagua mtandao mwingine utakaokuwa na bei nafuu zaidi.
 
Too bad!
Nimenunua tarehe 26/02, kumbe ningechelewa ingekula!
By the way, hii kitu ya kuondoa hii huduma ni mbaya sana kwa wateja...halafu bila hata taarifa, au kutoa altenative zingine cheaper!
Mi nilitazamia labda wapandishe bei ya ile bundle, lakini si kuiondoa...bora wangefanya hata Tshs 3000-5000!

Ni muda muafaka sasa kuanza kufuatilia mitandao mingine kama Zantel wana rates gani...hakuna haja ya kumbembeleza mwenye mapozi..kwanza ni mafree-mason hawa airtel pamoja na Vodacom!
 
Poleni wapendwa...huduma iyo haijasitishwa bado ipo na itazid kuwepo...leo asubuh kumekuwa na tatizo la netwk kwa baadhi ya mikoa apa nchini poleni sana kwa usumbufu uliojitokeza!
 
Habari ya asubuhi wana JF.

Asubuhi ya leo imekuwa ni mbaya sana kwangu, mimi kama walivyo wateja wengine wa airtel, nimekuwa nikitumia huduma ya airtel internet, kwa kutumia kifurushi cha 400MB/2500Tsh tangu mwaka 2010. Leo asubuhi nikagundua kuwa kifurushi changu kimekwisha. Basi kama kawaida, nikanunua tena vocha ya Tsh 2500, nikaingiza, nilipo subscribe ile huduma yetu rafiki kwa kutuma neno internet kwenda 15444, nikapata ujumbe ambao sikutarajia kuupata asubuhi hii, ujumbe ulisomeka hivi
"Name:
Number: 15444
Content:
Neno ulilotuma sio sahihi, Tafadhali chagua kati ya :- 10MB,25MB,50MB,150MB,250MB,500MB,1GB,2GB,5GB,15GB,30GB,SIKU,WIKI,MWEZI ama SALIO kwenda 15444.Asante.
Time: 01/03/2012 08:14:49"
Nikajaribu mara kadhaa nikapata ujumbe huohuo. Ndipo nilipogundua huduma yetu hii kipenzi is no more. Kwa hela hiyo hiyo nikajaribu kutuma mwezi, nikaambiwa hela haitoshi, nikajaribu wiki, nayo nikaambiwa hela haitoshi. Ndipo nikatuma 10MB ambayo naitumia hivi sasa na muda si mrefu itaisha.

Naomba kuchukua wasaa huu kuwaomba ndugu hawa wa Airtel kuirudisha huduma hii, kwani imewakusanyia wateja wengi wa internet ambao wengi watalazimika kuachana na huduma zao kama ile huduma wameiondoa. Mimi binafsi nina modem ya mtandao mwingine wa hapa TZ lakini niliichakachua ili niweze kutumia airtel kitu ambacho ni faida kwa airtel.

PLZ AIRTEL THINK TWICE!!

BAD DAY!!
Try again baadae
 
Poleni wapendwa...huduma iyo haijasitishwa bado ipo na itazid kuwepo...leo asubuh kumekuwa na tatizo la netwk kwa baadhi ya mikoa apa nchini poleni sana kwa usumbufu uliojitokeza!

akhsante kwa kutupa moyo mkuu,,, r u one of the staff / management ya airtell??
 
Hii imenitokea na mimi asubuhi ya leo.Internet yao imenigomea.

nadhani hii ishu itakua ina uhusiano na network system ya airtel..same same confusion ilinipata once mwezi uliopita lakini baada ya kusubiri masaa kadhaa nikafanikiwa kujiunga...hivyo tupige moyo konde muda utatueleza..
 
mi nilijiunga airtel kwa ajili ya iyo huduma,so sioni sababu ya kubaki humu.makampuni mengine sijui wakaje,wanaona raha kukomoa wateja,kama haya mastarr timezzzz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom