Airtel sasa wanaendesha utapeli na wizi wa mchana kweupe. January Makamba uko wapi?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,382
92,692
Wakuu licha ya kwamba Kampuni ya simu za mkononi Airtel ni sehemu ya Wateja wa JF lakini huu wizi waliounza sasa hivi is unacceptable in any circumstance.

Kila MwanaJF anayetumia modem ya airtel anafahamu fika ile bundle yetu pendwa ni shilling 2500/= kwa Mb 400 na ndivyo nilivyorecharge siku 3 zilizopita, sasa leo nimeshangazwa kutumiwa meseji na airtel eti kuna punguzo la 90% kwenye Internet!!

Wandugu nisiwachoshe na wala msinichoshe, nimecopy ujumbe wao na ninaupaste hapa, ili kama kuna uwezekano tufanye Boycot airtel. Watanzania sasa tumegeuzwa Mafala na makondoo na hata watu wapumbavu. hili halikubaliki. yaani ongezeko la gharama siku hizi ndio linaitwa punguzo?

Name:
Number: AIRTEL
Content:
SASA okoa hadi 90% ya gharama zako za internet.Jiunge na kifurushi maalum cha sh 2500 tu kwa mwezi na upate MB 200.kujiunga Sms neno INTERNET kwenda 15444
Time: 25/05/2012 14:37:50
 
Loh afadhali! Angalau sasa na mimi nitaweza kukinnunua manake zamani niliona aibu kununua vitu vya bei chee
 
Makampuni yote ya simu mambo ni hayo hayo. Juzi nilipata ujumbe huu toka Zantel." Hongera. Umejishindia Tsh. 1000Tsh.,Ili kupata muda wako wa BURE wa maongezi, tafadhali tembelea ofisi za Zantel/wakala wetu kusajili nambariyako au p". Bahati nzuri nilipitia kwa wakala wao kununua vocha, nilipowaulizia kuhusu zawadi hii wakasema hawajui cho chote, na wateja wengine waliokuwepo karibu wakasema wamepata ujumbe huu na hakuna lo lote.
 
Me pia nliipata kama hyo hapa nlipo natumia bundle ya mb 400 kwa 2500 asa cjui kama hyo ya mb 200 itamaliza mwezi tcra hawafuatilii hili mpaka wasikie kuna mionzi inaua ndo wanatoa tamko kwa hili ahahaah wanakunywa kahawa ofisini tu
 
Kwani ile habari ya intewrnet bure kwa miezi 6 ikoje???
Kuna mtu kashaweza tumia au ndo mambo ya kibiashara tuu??
 
Jana makamba alikua eateli ameuza sura itv,,,,halafu mjue ni kampun inayoendeshwa kwa ubia btn eateli na serikali
 
Arvin sloane hivi umejipa muda wa kuisoma thread yangu kwa makini? na vipi kuhusu speed ya airtel hasa unapoingia JF?

Nimeisoma thread yako na nimeeielewa vizuri speed ya airtel siku nne zilizopita ilikuwa very slow leo naona ipo vizuri tuu na kuhusu hicho kifurushi chetu cha tsh 2500 mb 400 walisema kuna promotion unapata mb 200 za ziada mimi nikasema waongo mbona mimi nimekinunua zijapata mb 200 za ziada kama inavyosema hyo promotion yao.
 
Back
Top Bottom