Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,374
Haya matangazo Likuki ya Aitel Money kiladakika kwa kila radio eti ni free service...kwa nini wasiwe wazi kuwa ni from 01-99,000/=???? ukituma zaidi ya hapo ukikatwa unastahili kuwashtaki na kuwadai mabilioni kwa kuwahadaa wananchi..competitors hamlioni hili? Na tume ya fair competition inasemaje kwa matangazo kama haya