Airtel mnakera!!!!!!!

Mwiyuzi

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
846
432
Mimi nakerwa mno na mtandao wa airtel kutuma message ya hongera kwa wateja na kwamba wamezawadiwa muda wa maongezi kumbe ni UONGO!

Kuna siku walinitumia sms kuwa wamenizawadia elfu kumi na tano 15,000 kumbe ni uongo tu!

Kwanini wanatuma sms za uongo sasa?


Sijui na ninyi wanajamvi wenzangu mnapatwa na adha hii?

Mi ninakerwa sana na tabia hii ya Airtel!
 
juzi kulikua na network problem unatuma sms alafu kwenye simu yako inaonyesha msg delivered kumbe hazifiki...zimefanya mpaka watu wamegombana maana mtu anatuma sms anaona kimya mwenzake ajibu anafikiri kachuniwa kumbe ni airtel na hata hawajaomba msamaha kwa wateja... aibu hawana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom