Airtel mbona hivi, au ni mimi mwenyewe?

Bulah

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
247
56
nikijiunga internet kwa kutumia mordem ya Airtel..... inakubali dk kama tano afu inakata.... tatizo nini????
 
Hamia voda, achana na shida hizo nadhani lile basi lao limeshachakaa.
 
Hamia voda, achana na shida hizo nadhani lile basi lao limeshachakaa.

kwani rostam ameondoka kwenye bodi ya wanahisa!!!!

Mimi sipeleki sehemu ya umasikini kwa tajiri fisadi!

Nilishajiondoa huko vyoda ya mashivyakom yao kitaaaaaambo.
 
Back
Top Bottom