Airtel kuonesha selectio post za vyuo

lamavunjo

New Member
Jul 21, 2013
4
0
baadh ya wanafunzi waliweza kuangalia post za vyuo kupitia lain za cm ya mkonon AIRTEL kwa muda wa masaa kadhaa tar 17 augost 2013 kwa kubofya *150*44# na kufuata maelekezo wakat tcu wao bd hawajatangaza na kutoa oficialy bt muda c mref airtel wakasitisha huduma hy kwanin?
 
Wewe je uliona jina lako na chuo ulichopangwa? Tujibu ili thread iendelee
 
Biashara nomaaaaaaaa,tcu wamekula mkataba na airtell bwna,iyo iko wazi,saiz wanajifanya wait official annauncement!hivyi katika akili ya kawaida,airtell watachukua information tcu bila kuluisiwa!hiyo trick ya tcu,wajistukia sasa.haya kila mbuzi anakula kulingana na ulefu wa kamba yake.:wave:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom