wana different bundles kutegemeana na mahitaji yako ila hauwezi ukasurf kwa sh500 siku nzima.. natumia tigo ya sh450 naunganisha na Huawei Ideos Tithering yani napata internet both kwenye laptop na kwenye Phone kawaida kama unaweza ukafanya hvyo inakua ni XXXtra cheap kuliko wengine wote
Hizo 2gb unaweza kuzipata kwa 12,500 na hiyo ya 500mb unaweza kupata kwa Tzs 3000 kama unatumia Airtel...huenda itakua ni kwny simu ya kiganjani. ila kwa modem nakushauri ya Zantel ni bomba kwani wamepunguza gharama eg 10000Tshs @ 500 MB na 40000 @ 2GB
Siku hizi speed yao hovyo mno hasa unapokuwa unatumia bundle...Voda essentially ni 1,000 kwa siku ukichukua bundle ya mwezi mzima unlimited.
Tzs 60,000 unapata modem na bundle ya 8gb, hiyo bei ni mwaka jana sijajua kama nao wamepunguza...Nilikuwa mtumiaji mkubwa wa internet wa Voda na hivi karibuni Zantel. Hayo mambo ya kutumia elfu 5 kwenye voice calls unapounganisha na highlife ya Zantel yamenifanya nishindwe kutumia huduma yao, naulizia bei za modem za airtel (na Voda, maana ya kwanza niliigawa) kwa sasa.
Tzs 60,000 unapata modem na bundle ya 8gb, hiyo bei ni mwaka jana sijajua kama nao wamepunguza...
Tzs 60,000 unapata modem na bundle ya 8gb, hiyo bei ni mwaka jana sijajua kama nao wamepunguza...
Dio nimeshaku-pm unipe maujanja hujajibu tusaidie basi mbona kina Calvin Power, drphone, ccairtel wao wanmwaga vitu hadharani, nani atakushtaki km kuchakachua sasa modem yao ya HUAWEI inabeba line zote kasoro usibadili IMEIKwa ukwel tigo ndio wapo speed kuliko mitandao yote..na ukinunua buddle ya 450 ni unlimited ambao wanasema kuwa tigo cyo unlimited download wanipm niwape maujanja,maana nikiweka hapa watashtukia.