Airtel Internet

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
Toka wiki iliyopita nimeona speed ya hawa jamaa imeshuka kwa kwasi ya ajabu sana, mwanzo speed yao ilikuwa inafika hadi 2.mbps kwa 3g, ila toka wiki iliyopita imeshuka na haifiki hata 1mbps, juzi na leo internet yao imekuwa ikisumbua sana unaweza ku-connect na usipate mtandao, pia imekuwa ina jidisconnect mara kwa mara... je wakuu ili tatizo na nyie mmeliona au ni kwangu tu, mimi niko sehemu ambayo napata 3G.
 
Hata mimi imenisumbua juzi, inajidisconnect yenyewe japo unakuwa hujacommand kitu hicho. Nadhani kuna tatizo kwani hata na sasatel leo wamekuwa wakisumbua sana
 
Ina kera kwa kweli,Speed yao imeshuka sana,kwa leo haija fika hata 300Kbps
 
Nimejaribu kuwapigia simu watu wa huduma kwa wateja lakini hakuna majibu naunganishiwa jingle za promo hadi simu inaishiwa chaji (si unajua simu za mchina tena!! japo tunapewa na betri za ziada kama magazini) inakera sana mkuu
 
Huduma kwa wateja tena? mimi toka asubuhi najaribu kuwapigia naishia kusikiliza matangazo yao tu.
 
duh! kumbe tunaumia wengi? mi nilihisi labda ni hili eneo ninaloishi ndio lina matatizo.Anyway kwa wale wenye ZANTEL naona hakuna tatizo kabisa.Ni vizuri mkawa na option
 
Hata mimi mchana nilikosa connection kabisa,saizi napata speed 3.6MBps shida ni kwamba ina disconnect sana hazipiti dakika 5 inakata yenyewe, sijui shida ni nini?
mimi ndo ilikata kabisa connection mchana mzima
 
sijui wanatatizo gani hawa. Yani mimi ingawa natumia internet ya simu siwez ona speed yake ila kwa kukadiria haraka haraka tu ninaona kabisa kwamba speed hii ndo ndogo mno. Na mchana mzima nilikuwa sina connection. Huduma kwa wateja hawapatikani. Jaman msaada anaejua namba nyingine ya huduma kwa wateja maana 100 siwapati
 
Hawa zantel wanauzaje modem zao,na gharama zake kwa ujumla zikoje,unajua hawa zain walikuwa cheap kwa hii bundle yao ya 400MB monthly.
duh! kumbe tunaumia wengi? mi nilihisi labda ni hili eneo ninaloishi ndio lina matatizo.Anyway kwa wale wenye ZANTEL naona hakuna tatizo kabisa.Ni vizuri mkawa na option
 
Mkuu hiyo 100 nlishapiga sana hawapokei,kuna jamaa akanambia kuna namba nyingine ya direct but sijafanikiwa kuipata.
sijui wanatatizo gani hawa. Yani mimi ingawa natumia internet ya simu siwez ona speed yake ila kwa kukadiria haraka haraka tu ninaona kabisa kwamba speed hii ndo ndogo mno. Na mchana mzima nilikuwa sina connection. Huduma kwa wateja hawapatikani. Jaman msaada anaejua namba nyingine ya huduma kwa wateja maana 100 siwapati
 
Hawa zantel wanauzaje modem zao,na gharama zake kwa ujumla zikoje,unajua hawa zain walikuwa cheap kwa hii bundle yao ya 400MB monthly.

kweli kabisa, airtel ni cheap. Tena haswa kwa mtumiaji wa simu hiyo bandle inakuwa kama ni bure mwezi mzima maana mpaka mwezi unaisha bandle bdo haijaisha. Sema huduma zao zikianza kusumbua ndo hivo wateja tutakimbia
 
Haswa,saizi naanza kuifikiria zantel.
kweli kabisa, airtel ni cheap. Tena haswa kwa mtumiaji wa simu hiyo bandle inakuwa kama ni bure mwezi mzima maana mpaka mwezi unaisha bandle bdo haijaisha. Sema huduma zao zikianza kusumbua ndo hivo wateja tutakimbia
 
mimi ndo ilikata kabisa connection mchana mzima
Ili tatizo limeanza toka wiki iliyopita, ina kuwa iko connected Access ya internet ndio upati, pia kwangu ilikuwa hivyo hivyo nikadhani kamodem kangu kanaelekea kufa kumbe ni tatizo la hawa jamaa.
 
Kwani mkuu uko maeneo gani?.........mi huku kwangu maeneo ya temeke kuko poa.......kuna jamaa yangu mmoja niliongea nae akaniambia kulikuwa na tatizo la Optcal fibre ya SEACOM ule mkongo unaotokea india........sasa wakalazimika kutumia internet ya satellite ndo maana speed yake ilipungua..........lakini nimechek leo naona kawaida tu
 
Back
Top Bottom