Airtel internet, vipi speed yao?

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Wadau mnaotumia airtel, hebu niambieni kuhusu spidi ya huu mtandao kwenye neti, maana mimi niliukimbia nikaenda voda ila naona voda wameanza kuwa kimeo. Leo nimeweka laini ya airtel na naona ina spidi ya kutisha. Je, huwa ni hivi siku zote?
 
Back
Top Bottom