Si agenda ya kumpendelea yeyote mkuu, haya makampuni ya simu yanatukamua kweli. Si kampuni moja, no wote, nadhani wamekubalianaIlianza Tigo..wakafuata Voda na Sasa Airtel!!
Naona hii wiki watu wanaipigia campaign Zantel sana. Sijui kuna agenda gani.