Airtel huu mkopo wenu umekaaje?

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Nashindwa kuelewa malengo ya huu mkopo wa salio wa sh 180 pengine mie ndie sijui faida ninayoweza kuipata,lakini mimi binafsi naona kama nina shida kubwa sidhani kama watakuwa wamenisaidia, mfano nipo sehemu ambayo siwezi kupa voucher au tu kwa muda huo sina pesa nami nahitaji kuongea na watu ambao najua hawana kabisa salio,au na hitaji nikope afu ninunue kifurushi katika modem yangu.
 
Hata mimi siwaelewi bora voda wametupa uhuru wa kuchagua 200,500 au 1000.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom