Airtel; hii si sawa!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Natoa malalamiko yangu kwa kampuni ya Airtel kwa kupandisha gharama za upigaji simu airtel kwenda airtel bila kutujulisha sisi wateja.<br>Nasema hivyo kwakuwa sasa wanalipisha shilingi 6 kwa sekunde baadala ya shilingi 1 kwa sekunde kama ilivyokuwa awali.<br> Kama imetokea kwa bahati mbaya watoe tamko au warudishe hela yetu kwa muda ambao wamefanya hivyo.<br><br>Nawakilisha.
 
Hii mitandao imenichosha ndg yangu.

Wanatuibia kuanzia wateja had serikali kwenye kodi.

Wote ni wezi ndg yangu.
 
Siku hizi mitandao yote imepandisha bei. Hakuna hata kampuni moja inayotangaza nusu bei wala shilingi kwa sekunde kama siku za nyuma (Labda Airtel 2.5 kupiga nje ya nchi tena E-Africa tu).
 
Bei ikipanda punguza matumizi ili ubaki katika kiwango chako cha kawaida cha gharama. Hata kama ni simu ya umuhimu unajifunza ku-sammarise!
 
Bei ikipanda punguza matumizi ili ubaki katika kiwango chako cha kawaida cha gharama. Hata kama ni simu ya umuhimu unajifunza ku-sammarise!

Hili nalo neno mkuu,itabidi kufanya hivyo maana kumantain hali ya mwanzo ni kuzidi kujiumiza
 
Back
Top Bottom