Geraldo DaVinci
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 277
- 37
Ningependa kuuliza kama kuna yeyote ambaye bado ameweza kupata access ya free internet ya saa 5 usiku maana kwa siku kazaa imenikatalia sasa
Sidhani kama sasa hv inakubali coz walishasema kwamba ofa hyo itasitishwa nadhan tar 24 na kwamba kungekuwa na ofa nyingine kabambe kwa ajili Xmass na mwaka mpya,sasa sijui imeishia wapi!