Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,717
- 1,472
Wadau kuna yeyote mwenye maujanja anisaidie plz,..........Ni kuhusu ile ofa ya saa 6 ucku ya mb 200 za bure za airtel, ikifika muda huo hawa jamaa huwa wanashusha connection speed toka HSPDA/WCDMA hadi EDGE ambayo hadi lisaa limoja unakuta nimedownload 15mb tu....hii cjui ni kwangu tu au wengine pia inawakuta...kama ni hivo kuna njia yeyote ya kuzuia modem ikabaki ktkt HSPDA?