Airtel acheni uhuni! Uhuni! Wizi na ufisadi.

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Nyie Airtel mnaofanya ni uhuni wa kitoto. Ninyi ni wezi wakubwa kabisa. Mmeweka huduma kwa wateja kwa malipo, sawa. Hii tabia ya kukata pesa ya mtu halafu katikati ya maongezi na wakati bado hujamaliza shida yako mnawaambia wateja subiri, then mnakata simu ili mteja apige tena huduma kwa wateja ni UHUNI NA WIZI. WEZI WAKUBWA SANA NINYI
 
Wanawaiga wavaa nyundo na jembe si wameshajua mkipenda chongo mnaita kengeza!
 
Nyie Airtel mnaofanya ni uhuni wa kitoto. Ninyi ni wezi wakubwa kabisa. Mmeweka huduma kwa wateja kwa malipo, sawa. Hii tabia ya kukata pesa ya mtu halafu katikati ya maongezi na wakati bado hujamaliza shida yako mnawaambia wateja subiri, then mnakata simu ili mteja apige tena huduma kwa wateja ni UHUNI NA WIZI. WEZI WAKUBWA SANA NINYI
Ni wezi sana tena siku hizi ukiweka credit ukizungumza tu simu moja kwa muda mfupi tena airtel kwa airtel pesa imeisha. Yaani si mtandao tena rahisi kama ilivyokua zamani. nimeacha kutumia mtandao huo ni heri nitumie mtandao mwingine hata kama nampigia simu mtu wa airtel.
 
Nyie Airtel mnaofanya ni uhuni wa kitoto. Ninyi ni wezi wakubwa kabisa. Mmeweka huduma kwa wateja kwa malipo, sawa. Hii tabia ya kukata pesa ya mtu halafu katikati ya maongezi na wakati bado hujamaliza shida yako mnawaambia wateja subiri, then mnakata simu ili mteja apige tena huduma kwa wateja ni UHUNI NA WIZI. WEZI WAKUBWA SANA NINYI

Mkuu peleka haya malalamiko yako TCRA
 
Kama ni case ya kupiga customer care usipate taabu sana tumia hii namba hii 0784105400 hii na yenyewe ni huduma kwa wateja na wala hukatwi chochote wanapewa macorparate customer halafu walalahoi wanaambiwa wapige 100. Ukipiga hiyo namba ni direct anapokea mtu na haina longo longo na wala hawachaji chochote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom