Airport Scanner Operators

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Hawa scaner operators hususan wa JK Airport ni matapeli sana, sasa kama umeshuku Nivea lotion au azamu juice imetegeshewa bomu, inakuaje unaanza kuitumia palepale bila haibu? Ni bora mngesubiri niondoke. Afu huu uwanja, kwanini unaitwa International? Ukiulinganisha na wa nchi za wenzetu, ulipaswa kuitwa Uwanja wa Kata.
 
Mzee umenichekesha kweli kwa hili..hujasogea mbali juice wanajimiminia????? Ni kweli kabisa huu uwanja haustahili kuitwa international...... kama kweli una sifa ya kuitwa international basi viwanja vya Dubai, Chicago, Detroit au San Francisco au hata Amstardam vitafutiwe majina mbadala.
 
Mkuu swali kwako, ni kwa nini uende na Juice na utegemee kupita nayo ilhali kuna angalizo kabisa limetolewa kuwa vimiminika haviruhusiwi?
Kuhusu uwanja wa JNIA ni kweli kuna mapungufu mengi tu yanayohitaji kurekebishwa.
 
Tanmo, swala la kimiminika laweza chukuliwa ka kigezo tu,waseme hatupaswi kununua hizi za kariakoo, kwan cha ajabu ukinunua wine au vimiminika vingine kwenye maduka ya airport, utapeta navyo hadi ndani ya ndege. Afu kwann wasikushauri u check in navyo kama cargo? Pia hilo tangaza la vimiminika haviruhusiwi hawatangazi kwenye spika zao? Ka sijui kusoma je?
 
Nimekosoma mkuu, kumbe wana exclusion!!
 
Hawa scaner operators hususan wa JK Airport ni matapeli sana, sasa kama umeshuku Nivea lotion au azamu juice imetegeshewa bomu, inakuaje unaanza kuitumia palepale bila haibu? Ni bora mngesubiri niondoke. Afu huu uwanja, kwanini unaitwa International? Ukiulinganisha na wa nchi za wenzetu, ulipaswa kuitwa Uwanja wa Kata.

Khaa, na wewe kwa nini usafiri na viroba vya juice? Hii haihitaji PhD
 
Tanmo, swala la kimiminika laweza chukuliwa ka kigezo tu,waseme hatupaswi kununua hizi za kariakoo, kwan cha ajabu ukinunua wine au vimiminika vingine kwenye maduka ya airport, utapeta navyo hadi ndani ya ndege. Afu kwann wasikushauri u check in navyo kama cargo? Pia hilo tangaza la vimiminika haviruhusiwi hawatangazi kwenye spika zao? Ka sijui kusoma je?

Mkuu kuhusu vimiminika nafikiri inategemea na mtu uliyemkuta pale. Siku hizi naona wamelegeza masharti maana nimepita pale (JNIA) Januari hii mtu mmoja akauliza naweza kuingia na haya maji yangu? Akaambiwa unaweza kuingia nayo ili mradi tu uyanywe (uyatesti) kiasi mbele yao.
 
epuka vimiminika na vilipuzi ukiwa unasafiri kwa ndege mimi niliacha mzinga wa PERFUME (PACO) pale JNIA roho iliniuma hatari
 
Mkuu swali kwako, ni kwa nini uende na Juice na utegemee kupita nayo ilhali kuna angalizo kabisa limetolewa kuwa vimiminika haviruhusiwi?
Kuhusu uwanja wa JNIA ni kweli kuna mapungufu mengi tu yanayohitaji kurekebishwa.

Ndo mana TBIII inajengwa
 
Tanmo, swala la kimiminika laweza chukuliwa ka kigezo tu,waseme hatupaswi kununua hizi za kariakoo, kwan cha ajabu ukinunua wine au vimiminika vingine kwenye maduka ya airport, utapeta navyo hadi ndani ya ndege. Afu kwann wasikushauri u check in navyo kama cargo? Pia hilo tangaza la vimiminika haviruhusiwi hawatangazi kwenye spika zao? Ka sijui kusoma je?

Wewe unatoka Ngudu tena ndani kabisa unaenda kupanda ndege, hujui hata abc za usafiri wa anga unategemea nini!
 
Tanmo, swala la kimiminika laweza chukuliwa ka kigezo tu,waseme hatupaswi kununua hizi za kariakoo, kwan cha ajabu ukinunua wine au vimiminika vingine kwenye maduka ya airport, utapeta navyo hadi ndani ya ndege. Afu kwann wasikushauri u check in navyo kama cargo? Pia hilo tangaza la vimiminika haviruhusiwi hawatangazi kwenye spika zao? Ka sijui kusoma je?

mkuu kuingia na vimiminika ni kawaida kama Mimi nabeba daily konyagi nk ndani ya suitcase na cyo handbag inayo ingia ndani .....sasa we uje na chupa ya kitu haijulikani ndani kuna nini hata kama kua nembo people can make it......ndani au duty free vitu vyote viko pouwa na vimechekiwa na viko Salama........zaidi ni security mkuu
 
Halafu hizi Pozi za kizamani kweli,Yaani ni sawa na kupiga picha huku umeweka Dole.
Mambo yote yamendika na baadhi ya ticket zimeandikwa.
Kwanza inakuwaje uwe na pozi ya kuingia na mjuisi wako ndani ya ndege,maana baadhi ya routes vitu kama vitafunwa nk vinatolewa bure.
Maana ukiruhusu kila mtu aingie na lake ndani ya ndege basi sie WAHA tutaingia na Ugali wa rowe na mteke.Maana kwenye Train tumeisha iteka,full kula mwanzo mwenga.
Kuhusu uwanja,ni kweli ni tatizo,ila kama ukifuatilia Wizara ni kwamba kinashushwa kitu cha uhakika kwenye Terminal mya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom