Airport Dar inanuka kinyesi

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Sasa yapata mwezi mzima nadhani kuna maji ya choo yameziba, infact inahuzunisha sana kuwa kile ndio mmoja kati ya viooo vyetu kama Taifa lakini sasa hizi ni zaidi ya mwezi hali ni mbaya sana

Hapo hatujazungumzia wizi unaofanywa na security staff pale kwenye scanners au wale the so called Immigration au Usalama wanaokaa pale mlangoni kuwabugudhi wageni wanaoingia bila sababu za msingi

yup hiyo ndio Tanzania ya 2010
 
CCM wasivyo na haya hiyo airport wakaiita J.K. Nyerere ili kumuenzi au kumdhalilisha?

Chagua Dr. Slaa, Chagua Chadema tuachane na huu upuuzi na ukurutu wa CCM
 
Sasa yapata mwezi mzima nadhani kuna maji ya choo yameziba, infact inahuzunisha sana kuwa kile ndio mmoja kati ya viooo vyetu kama Taifa lakini sasa hizi ni zaidi ya mwezi hali ni mbaya sana

Hapo hatujazungumzia wizi unaofanywa na security staff pale kwenye scanners au wale the so called Immigration au Usalama wanaokaa pale mlangoni kuwabugudhi wageni wanaoingia bila sababu za msingi

yup hiyo ndio Tanzania ya 2010

Vile vyoo navyo ahh. Huwa vinakuwa chepe chepe. Hivi hata zile ndoo za samaki toka Mwanza huwa wanazipitisha kwenye scanner?
 
Ile ni gereji .. u can't expect anything to be in order. hivi ile elevator inafanya kazi? lol

kaaz kwelikweli.
 
Kwani unafikiri the late Wacko aliposema Africa inanuka alikosea!?? huh!! ukweli ni kwamba! TZ Inanuka na inatia aibu sana na sana na sana na inaleta uchungu jamani!vitu vidogo vidogo vinaamua sana conclusive appearance ya kitu ! we need to be serious! yaark!!
 
haahhahaaaa..teh teh teh... hali ni mbaya sana. Ila blantyre malawi wanaongoza..... yethu na maria waudumu wao ndani ya ndege they smelll shhhhh.......choo cha airport kinanuka japo hakijaziba.. kiki ziba!!!!!!!???????? balaaaaaa
bora umetoa mada nitaenda evaluate hali pale dar, kia na nikitua mwanza nita cheki pia..then tuta share na wadau wajue hali ilivyo...
 
hali bado mbaya. vypp vimeziba escalators hazifanyikazi, mkanda wa kutoa mabegi nao haufanyi kazi na wale immigration uchwara mlangoni bado wanasumbua watu
 
Mimi pale sina hamu nako tangu wanikwapulie mizigo yangu sitaki hata kupasikia, wezi sana wale wapumbavu. Ufisadi uliopo pale inabidi Jina la Uwanja ubadilishwe liitwe Lowassa International Airport, Mkapa International Airport au Kikwete International Airport hao ndio vinara wa Ufisadi Nchini, lakini Jina la Nyerere ni kumdhalilisha mzee wa watu.
 
Aise! Panakera sana! Huwa pananuka na wafanyakazi pia huwa wananuka! Oh! Shabash!

Wafanyakazi wa pale huwa wananuka vikawapa kwenda mbele halafu wachafu, ukipita wanavyokuangalia utafikiri mda wowote unaweza kukabwa kumbe wanakabia kwenye mabegi kwa kuyamasaji kwa viwembe
 
hali bado mbaya. vypp vimeziba escalators hazifanyikazi, mkanda wa kutoa mabegi nao haufanyi kazi na wale immigration uchwara mlangoni bado wanasumbua watu

Hao Immigration ndio usiseme kwa kuomba wamezidi halafu hawana hata aibu, wasumbufu, wajinga, wapumbavu na washamba kwenda mbele. Mi nazani wangepewa makopo ya kuomba kama wanavyofanya ombaomba wa barabarani
 
Back
Top Bottom