Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,581
- 6,675
Wakuu hbr ya wakati huu...kuna ndugu yangu ameniomba mwanga katika hili nami nikaona nililete jukwaani kwani penye wengi hapaharibiki jambo.
Ndugu yangu huyu ana ndoto na anatamani sn cku moja aje kuwa rubani wa ndege..alimaliza chuo mwaka jn na amesoma digrii ya sayansi katika bima na udhibiti majanga. Anafanya kazi kwnye kampuni binafsi kwa sasa(lkn co ya bima).
Sasa anahitaji kujua ni namna gani anaweza kukamilisha hyo ndoto yake hasa maswala ya scholarships...
Natanguliza shukrani wakuu.